Chuki za Roy Hodgson kwa wachezaji wa Leicester city kuiondoa England mapema euro 2016

Chuki za Roy Hodgson kwa wachezaji wa Leicester city kuiondoa England mapema euro 2016

Sasa ni dhahiri kwamba kocha huyu kikongwe anazo chuki binafsi.

Katika hali ya kawaida huwezi kumwacha benchi Jamie Vardy kama unataka kushinda , hii ni ajabu !

Ukiangalia kwa makini Vardy kila nafasi anayopata ndani ya 18 hesabu ni goli , habahatishi , kwenye game kama hizi usitarajie kupata nafasi nyingi sana , kwahiyo unahitaji mchezaji mwenye uwezo na asiyefanya ajizi kama Vardy .

First touch yake haina mfano , sasa unamuachaje benchi ?

Alimuacha DrinkWater akaleta mshangao dunia nzima , sasa hii shilingi nyingine anayoichezea itamrudisha nyumbani mapema sana , Hakuna striker wa England wa kumuweka benchi Vardy , utake usitake .

Hodgson amekusikia [emoji2]
Nadhani atakuwa anasoma thread za jf [emoji23][emoji23]
 
England saw na Yanga,Timu ya Yanga ina shaini kwa wachezaji wa kigeni,ujinga kocha akawa hukua kuwaweka Taifa Stars,Ndo kichapo nje ndani
Kweli mkuu Mkwasa na Hogson ngoma droo , Huwezi kumweka nje mfungaji bora halafu kisa jina umeweke ROONEY utegemee ushindi
 
Km shabik wa england napata ukakasi sana na kikosi hki...
Kna wavhezaji zaid ya 300 wazur uk ukianzia legue 1 & 2,championship,Oxfordshire, west riding county,Northamptonshire,Lancashire, national league,non league div 1 na zngne kbao Anakazana na kna lallana,cjui wilshere..
Honestly ukiacha rooney,vardy na kadha km 4 tu ndo wanastahili kuitwa kutoka Epl,wengne angechkua lig zngne hawa miaka nenda rudi ni bogus
 
Baada ya jana usiku mzee Roy Hodgson kupitia maoni ya wadau hapa jf hatimaye asalimu amri , Jamie Vardy ndani ya kikosi .
 
Huyu mzee alistahili kutimuliwa mechi ya kwanza tu , hakustahili kujiuzulu kwa heshima , baada ya hapo ashitakiwe kwa ubaguzi na kulitia Taifa hasara .
 
Back
Top Bottom