42_007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,561
- 824
Hahaa England hakuna kocha pale. Mi pia nashangaa mpaka saivi.jana nilicheka sana eti harry kane ndo mpigaji kona kweli out of all kane kweliii?????????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa England hakuna kocha pale. Mi pia nashangaa mpaka saivi.jana nilicheka sana eti harry kane ndo mpigaji kona kweli out of all kane kweliii?????????????
Naam kwa mbaali England ingeleta BurudaniStelling na Wilshere hata benchi wasingekaa! Kikosi mbele lazima kingekuwa na 4-4-2 mbele Vardy na Kane pmbeni Roney na Milner,kati Dier na Ali hapo full mzigo anapigwa yoyote
Hata sijui ni historia ipi wanayoivunia maana hawajawahi kushinda kombe la Euro tangu lianzishwe mwaka 1960. sasa zimepita fainali 24. England haijawahi kuchukua ubwingwa.England hata wafundishwe na nani, hawana wanachojivunia zaidi ya history ya mwaka sijui mwaka gani walichukua world Cup karne sijui ya ngapi vile,
England hata wafundishwe na nani, hawana wanachojivunia zaidi ya history ya mwaka sijui mwaka gani walichukua world Cup karne sijui ya ngapi vile,
Sasa ni dhahiri kwamba kocha huyu kikongwe anazo chuki binafsi.
Katika hali ya kawaida huwezi kumwacha benchi Jamie Vardy kama unataka kushinda , hii ni ajabu !
Ukiangalia kwa makini Vardy kila nafasi anayopata ndani ya 18 hesabu ni goli , habahatishi , kwenye game kama hizi usitarajie kupata nafasi nyingi sana , kwahiyo unahitaji mchezaji mwenye uwezo na asiyefanya ajizi kama Vardy .
First touch yake haina mfano , sasa unamuachaje benchi ?
Alimuacha DrinkWater akaleta mshangao dunia nzima , sasa hii shilingi nyingine anayoichezea itamrudisha nyumbani mapema sana , Hakuna striker wa England wa kumuweka benchi Vardy , utake usitake .
Nisingethubutu kumweka benchi Jamie Vardy .Wewe ungekuwa ndiyo kocha wa Uingereza, ungechezesha wachezaji gani? Tupia kikosi chako cha kwanza na akiba!
England hata wafundishwe na nani, hawana wanachojivunia zaidi ya history ya mwaka sijui mwaka gani walichukua world Cup karne sijui ya ngapi vile,
Kama anapita hapa jf ajionee jinsi alivyoborongaKwani aliyeteua wachezaji wa kuunda Three Lions ni nani kama sio Hodgson mwenyewe?
Iweje ndani ya mechi moja hii ambayo mdai kuwa anawachukia wachezaji wa Leicester City? Quite unfair.
Vv
Naona hiyo timu haumii mtu na haina sub!tuseme tu England timu Yao ni yakawaida tu imekosa wachezaji wakuwapa matokeo..Stelling na Wilshere hata benchi wasingekaa! Kikosi mbele lazima kingekuwa na 4-4-2 mbele Vardy na Kane pmbeni Roney na Milner,kati Dier na Ali hapo full mzigo anapigwa yoyote
England hakuna mpira ila kuna promo tuu ndio maana ligi yao ni maarufu duniani ila haina ubora wowote kulinganisha na Laliga, Bundesiliga nk... Promo nyingi kutoka kwa media za kiingereza ndo zinafanya ligi yao iwe na umaarufu.Ilikuwa mwaka 1966 na England walinyakua kombe hilo ambapo waliwafunga Germany 4-2 katika dakika za nyongeza.
Mechi ilikuwa uwanjani kwao Wembley na mfungaji wa goli la tatu aliotea lakini goli hilo likapitishwa na mwamuzi na mshika kibendera wake ambao walikuwa ni warusi.
Mpaka dakika 90 zinakwisha goli zilikuwa ni 2-2 na zikiwa dakika 11 zimekwenda ndani ya muda wa nyongeza, mshambuliaji wa Engalnd Geoff Hurst akapiga shuti likagonga besela na kurudi uwanjani ambapo beki wa Germany akaukoa.
Lakini mwamuzi na mshika kibendera wake wakaamua kuwa hilo ni goli, na sheria ya mpira inasema kwamba mpira mzima ni lazima uingie wavuni ili ihesabiwe kuwa ni goli.
Baada ya goli lile Germany walikata tamaa sana na wakaruhusu goli linguine la nne na kushindwa mechi hiyo.
Lakini wakti ule kulikuwa na siasa nyingi sana na ndio maana lile goli lao la tatu "limewaathiri sana"(labda Germany walinuizia) mpaka leo England hawajapata bahati ya kushinda kombe la dunia.
Na hili jambo linawasumbua sana England mpaka kesho na bado wana uhasama wa chinichini juu ya tukio lile.
Muingereza akikusikia unatajataja Germany kwa suala la mpira kwa kuwasifia anaweza asiwe rafiki yako kihivyo..
Chakushangaza hata yeye hajashtukia!jana nilicheka sana eti harry kane ndo mpigaji kona kweli out of all kane kweliii?????????????
ndio maana kina Gary Neville, Jamie Carragher,akina Henry wapo,kwa performance ya vardy Sio ya kumuweka bench 90' minWewe ungekuwa ndiyo kocha wa Uingereza, ungechezesha wachezaji gani? Tupia kikosi chako cha kwanza na akiba!
mtazamo wa mashabiki pia upo'',..na maamuz mengine hata kama sio kocha unayaona tyu ni maamuzilessKivipi, kocha ana maamuzi yake.
angewezaje kumuacha among Three Top scorer wa EPL msimu ulioisha na bingwa pia mchezaji bora wa ligi aliogopa hisia za Waingereza,..na kumuita kwake sio kwamba hana chuki nae ( kama ipo)Nadhani kama angekuwa hamuhitaji (kwa chuki kama ulivyoandika) basi asingemwita kabisa kikosini.
Nadhani kocha mwenyewe anajua kwanini hakumchezesha.