Chukua hii itakusaidia

Chukua hii itakusaidia

Mimi kuna maza mmoja alisemaga nipo smart sana.
Sijui nina nini ila unapozingua haina vipimo ni chuki chuki 😂 😂 😂 😂

Na mtaani wanaelewa kuwa kweli mpaka nafanya vile kuna mtu kazingua.

Ila kwenye huruma pia nipo vzr mno
 
Kwa Tanzania hii ukiwa mama huruma sana sahau kuhusu kitu kinaitwa mafanikio. Maana watu watakutumia wakijua una huruma hautofanya kitu chochote.
 
Roho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, lakini huruma inaua biashara kwa kiasi kikubwa

Chagua moja apo
Kuna kitu unachanganya...... Hakuna mfanya biashara mwenye roho mbaya kwa mteja, ila wengi wanaoshutumiwa kuwa na roho mbaya huwa wana hii kitu 👉 nidhamu ya pesa yenye msimamo ndani yake
 
Back
Top Bottom