Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Roho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, lakini huruma inaua biashara kwa kiasi kikubwa
Chagua moja apo
Chagua moja apo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbayaSasa hapo tuchukue kipi?
Nini maana ya Roho mbaya kwa muktadha wa biashara/kibiashara.Roho mbaya
Nini maana na toa mfano wa Huruma kwa muktadha wa biashara/kibiahsra.huruma inaua biashara
Jamaa jau sana huyuSasa hapo tuchukue kipi?
Chagua yote mawili na ufanye kwa kiasiWateja wakipungua si ndio biashara inaelekea kufa?
Biashara ikifa ina maana hakutakuwa na wateja tena.!
Nimechanganyikiwa
Kuna kitu unachanganya...... Hakuna mfanya biashara mwenye roho mbaya kwa mteja, ila wengi wanaoshutumiwa kuwa na roho mbaya huwa wana hii kitu 👉 nidhamu ya pesa yenye msimamo ndani yakeRoho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, lakini huruma inaua biashara kwa kiasi kikubwa
Chagua moja apo