Chukua hii ya Yanga. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mwaka ambao Yanga wanachukua ubingwa na maisha ya neema kwa watanzania.

Chukua hii ya Yanga. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mwaka ambao Yanga wanachukua ubingwa na maisha ya neema kwa watanzania.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa Tanzania.

Ni miaka yote kuanzia Yanga na Simba zianzishwe. Sitatoa mifano ya miaka ya zamani, nitatoa mifano ya miaka ya hivi karibuni. Angalia kipindi ambacho Yanga anachukua misimu mitatu mfululizo ( some years before 2015 ) na hali ya maisha ya watanzania ilivyo kuwa halafu tazama miaka ambayo Simba wamechukua misimu minne mfululizo kisha linganisha na hali ya maisha ya watanzania ilivyo kuwa ( Ni katika kipindi hicho ndipo Tanzania ilipo tajwa miongoni mwa nchi za watu wasio kuwa na furaha duniani )

Haya meanwhile ubingwa unanukia Jangwani. Pamoja na kwamba dunia inapitia kipindi kigumu kiuchumi lakini watanzania ni wenye furaha kwa ujumla wake and on top of that in as far as the issue of general happiness is concerned, we as a nation have a good promising near future...

Mnapo ambiwa Yanga raha muwe mnaelewa
 
Huu muda uliotumia kuandika ushuzi kama huu ni vema ungeutumia hata kuosha hizo tongotongo machoni
 
Back
Top Bottom