Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Kwa Heshima Na taadhima naomba kuja Pm[emoji7][emoji7][emoji7]Asante sana.
Amen InshAllah wakati wa Mungu ukifikaAjapata chaguo la moyo bado ila akipata lazima tule ubwabwa
Usishtuke dear nilikua namtania tu kaka yangu Half american maana yeye na dada yangu Joannah wakiona tu mtu ananichekea wananiambia eti nachezea bahati ya kuolewa mara ntakuja kujuta.So nimewaambia hivyo labda wataniacha mpaka wakati wa Mungu ukifika nitaolewa.Kheee..!! We Clepatina, mbona umenishtua sana..!!!???
Nataka kuitwa ankoUsishtuke dear nilikua namtania tu kaka yangu Half american maana yeye na dada yangu Joannah wakiona tu mtu ananichekea wananiambia eti nachezea bahati ya kuolewa mara ntakuja kujuta.So nimewaambia hivyo labda wataniacha mpaka wakati wa Mungu ukifika nitaolewa.
Kuwa na subra broNataka kuitwa anko
Mpaka lin Dada mdogo au unataka maanko wanisalimie BabuπKuwa na subra bro
Wewe umejuaje kama huu Sio wakati wa Mungu?ππππUsishtuke dear nilikua namtania tu kaka yangu Half american maana yeye na dada yangu Joannah wakiona tu mtu ananichekea wananiambia eti nachezea bahati ya kuolewa mara ntakuja kujuta.So nimewaambia hivyo labda wataniacha mpaka wakati wa Mungu ukifika nitaolewa.
Msumbufu huyu nyieπππMpaka lin Dada mdogo au unataka maanko wanisalimie Babuπ
Huyu itabid tumuwekee kikao kabla hatujaanza kuandika getini tunauza barafu na hakuna mbwa mkaliWewe umejuaje kama huu Sio wakati wa Mungu?ππππ
Habadiliki tangu mtoto n msumbufuMsumbufu huyu nyieπππ
π€£π€£π€£π€£π€£Kikao kikaliwe haraka sanaHuyu itabid tumuwekee kikao kabla hatujaanza kuandika getini tunauza barafu na hakuna mbwa mkali
Utaniua kwa presha bro!,ππMpaka lin Dada mdogo au unataka maanko wanisalimie Babuπ
Haraka sisi ndio resque team ππ€£π€£π€£π€£π€£Kikao kikaliwe haraka sana
Hivi nyie siku nikiolewa mtalia kwa kuondoka kwangu home kweli nyie?πWewe umejuaje kama huu Sio wakati wa Mungu?ππππ
Sawa Dada Kila lenye heriUtaniua kwa presha bro!,ππ
Soon kabla hujawa babu I promise
πππHuyu itabid tumuwekee kikao kabla hatujaanza kuandika getini tunauza barafu na hakuna mbwa mkali