Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Usishtuke dear nilikua namtania tu kaka yangu Half american maana yeye na dada yangu Joannah wakiona tu mtu ananichekea wananiambia eti nachezea bahati ya kuolewa mara ntakuja kujuta.So nimewaambia hivyo labda wataniacha mpaka wakati wa Mungu ukifika nitaolewa.
Kumbe bado..!! Jamani Jimbo hili lipo wazi..!!
 
Back
Top Bottom