Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Hii ni acha kazi ufanye kazi
Kama nakuona calls za wakati unaandika ulivyokuwa unazimutia pembeni 😂😂😂👏👏
Lenie chukua hela hapo mezani, Kisha muite mpwa wangu Leejay49 , mwambie aende kwenye duka la mangi Gily anunue mahitaji ya leo. Patakuwa na ugeni mkubwa sana, maana Joannah kasema anamleta rasmi Equation x aje tumtambue, kwa maelezo niliyopata, huyu mkwe wetu ni mchanganyiko wa mbegu ya kiafrika na ulaya, kiufupi ni Half american , amesoma, anaelimu nzuri ya biashara, vijana wa mjini wanasema ni Intelligent businessman , sio maneno yangu hayo ni To yeye mwenyewe ndio kasema.

Hakikisha taarifa zinafika kwa majirani zetu Lovie Lady na Nourhan ili waje kusaidia kupika, maana Lovelovie peke yake hatoweza. Ila usialike watu wengi, Watu8 wanatosha. Mwambie Mzee wa kupambania ahakikishe tunapata matent, maana mvua inaweza kunyesha.

Pia kama una namba ya Depal plz mpigie, nasikia ni mpambaji mzuri sana. Ila usisahau kumkubusha Dejane aje in time, aje na dada yake Nuzulati , kuhusu Antonnia Sina shaka, maana yeye ndio mc.

Amehlo na Shunie nimesikia watakuja na upande wa mume. Dahan ni camerawoman leo, mwambie apige picha nzuri, na kuhusu malipo yake, asijali because I am The Boss
 
Nimechelewa kuzipata salamu zako baada ya radio yangu ya Mkulima kuisha Betri tangu Juzi 🤪

Hata hivyo nimefarijika sana, kupata salamu hizi, maana Kijiji Chote kilikuwa hapa kwangu kusikiliza salamu zako 🙌

All in all ubarikiwe Mkuu wangu🙏
Sawa babu nakuja kukusalimu wiki ijsyo niandalie maboga
 
Back
Top Bottom