Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Sawa babu nakuja kukusalimu wiki ijsyo niandalie maboga
Hahaha.......alafu mwaka huu nimevuna maboga mengi sana ila nimekosa wateja,

kuna mzungu alikuja kutudanganya hapa Kijijini kuwa atahitaji maboga tani 100, saivi tumevuna tunampigia simu anakazi ya kuongea Kiingereza tu "I will come, I will come" 🙌
 
Ahahaha duku langu la mafuta nilikute mzee
 
Back
Top Bottom