Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

Well noted brother Mshana Jr.

Lakini Mshana, naona kama kuchukua muda mwingi ku-recover unazidi kuumia kwa kuwa muda mwingi unaliwazia penzi lililovunjika!!!!

Hii ikoje kwa MTU anayepumzisha hisia zake.

Nipe somo kidogo.
 
Unazipa kipaumbele ishu nyingine... Mawazo ya kumuwaza yakija usiyazuie yaache yataondoka na kurudi kila wakati mpaka yachoke.. Kisha kuna siku yataondoka kimoja
 
Ndio zamani lakini

Dah pole sana, yaani mpaka alwatan kama wewe unalizwa kwenye mapenzi basi nanyanyua mikono juu ya penzi nausikia ule wimbo usioisha utamu wa Muumin ukiimba akili mwangu"nilipokuwa mtoto, nilifikiri penzi ni Jabari ambalo linaweza ua tunda Special." Muumini ni kiboko na aliutendea haki huu wimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…