Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nilikuwa nakutania tu MkuuNot at this age... Mimi nyani mzee
Unazipa kipaumbele ishu nyingine... Mawazo ya kumuwaza yakija usiyazuie yaache yataondoka na kurudi kila wakati mpaka yachoke.. Kisha kuna siku yataondoka kimojaWell noted brother Mshana Jr.
Lakini Mshana, naona kama kuchukua muda mwingi ku-recover unazidi kuumia kwa kuwa muda mwingi unaliwazia penzi lililovunjika!!!!
Hii ikoje kwa MTU anayepumzisha hisia zake.
Nipe somo kidogo.
Mshana, Shauri hapaIla kila siku namuona nafanya nae kazi karibu hapa nifanyaje.
Ila kila siku namuona nafanya nae kazi karibu hapa nifanyaje.
Changamoto haikimbiwi unaikabili mwisho wa siku unazoea kila umwonapo unajiapiza moyoni she is no longer mine nothing last forever she was once mine but time has made it...Mshana, Shauri hapa
Kashajibu diaAkikujibu nitag
Mimi kanikumbusha dah!Kani fariji Mimi.
Ndio zamani lakini