Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
[emoji17]Kashajibu dia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji17]Kashajibu dia
Huyo alikuwa ni yeye? If yes,alishajua kumbe.Rip ⚰ Fares Maro
Yaaani mkuu kweli,nikunyanyua moyo na kuuweka juu ya msalaba wa YESU (kwa imani yangu)na kumwambia Bwana na hili nalo jambo hebu shughulika.shika moyowangu maana bila ww mimi siwezi,simama mwenyewe maana ww ndio unawajua watu ulio waumba.ila chamsingi ni KULINDA SANA MOYO KULIKO VYOTE ULINDAVYO.Mithali 4:23Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati ulipokuwa unamhitaji sana
Mapenzi yanaumiza mapenzi yanatesa lakini ni muhimu kuangalia ulikotoka.. Maisha yako ni muhimu kuliko yeye.. Hakuwapo Kabla... Kisha akaja... Mwache aende... Future yako yaweza kuwa muhimu kuliko yeye...
Umewekeza kwake sawa... Ulimkabidhi moyo wako sawa.. Lakini kama hana hisia nawe, kama hana shukrani... Kama hakupendi tena na kama kakutenda mwambie waweza kwenda... Akuachie japo pumzi yako... Isifike mahali nayo akaondoka nayo...!!!
Ili kutambua upande wa pili wa mapenzi ni lazima kuumia ni lazima kuumizwa.. Usione ndio mwisho wa maisha, chukulia kama ni changamoto... Mitihani ya dunia
Wewe si wa kwanza hutakuwa wa mwisho... Vumilia... Muda pekee ndio utayaponya majeraha ya mapenzi... Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya unaweza kuingia chaka... Utafanya hivyo kwa ghadhabu na bila fikra timilifu.. Unaweza kuongeza tatizo badala ya kuponya majeraha....
Zipumzishe hisia... Mapenzi yanachosha sana... Jipe muda wa kutafakari upya... Ulipokosea ulipopatia, uliposhindwa kutimiza wajibu... Ulipotenda kwa weledi na chochote utakachoweza kutafakari... Baada ya kuona umepata nguvu ya kuanza tena... Fanya hivyo bila papara... Epuka uzuri wa mkakasi.....
Zijapopita siku za furaha usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako.. [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji781] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770]
Usimwache TMapenzi yanauma ila kumwacha aende ndo suluhisho ya yote!!!
We mwache aende, kuna furaha zaidi mbele yako kuliko yeye!! Siku zote amini hakuwa wako na wakati ukifika ukifika utampata wa kufanana nae....
Just let her/him go!!!!!!
Chezea mshana wewee keshawaangalia kwenye kioo chakenaona kila anaepita humu anasema ujumbe umekuja wakati muafaka...
ila tuache ubishi....kama akienda muache tu usilazimishe mapenzi.
Pitia na huu pia the moment of truth, mwambie waweza kwenda
Simwachi mileleUsimwache T
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]