Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati ulipokuwa unamhitaji sana

Mapenzi yanaumiza mapenzi yanatesa lakini ni muhimu kuangalia ulikotoka maisha yako ni muhimu kuliko yeye hakuwapo kabla kisha akaja mwache aende future yako yaweza kuwa muhimu kuliko yeye.

Umewekeza kwake sawa ulimkabidhi moyo wako sawa lakini kama hana hisia nawe, kama hana shukrani kama hakupendi tena na kama kakutenda mwambie waweza kwenda akuachie japo pumzi yako isifike mahali nayo akaondoka nayo.

Ili kutambua upande wa pili wa mapenzi ni lazima kuumia ni lazima kuumizwa usione ndio mwisho wa maisha, chukulia kama ni changamoto mitihani ya dunia

Wewe si wa kwanza hutakuwa wa mwisho vumilia muda pekee ndio utayaponya majeraha ya mapenzi usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya unaweza kuingia chaka utafanya hivyo kwa ghadhabu na bila fikra timilifu unaweza kuongeza tatizo badala ya kuponya majeraha.

Zipumzishe hisia mapenzi yanachosha sana jipe muda wa kutafakari upya ulipokosea ulipopatia, uliposhindwa kutimiza wajibu ulipotenda kwa weledi na chochote utakachoweza kutafakari baada ya kuona umepata nguvu ya kuanza tena fanya hivyo bila papara epuka uzuri wa mkakasi.

Zijapopita siku za furaha usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji781] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770]

Thank you much zaaid ya sana
 
.
DfhaPYdXcAAkovy.jpeg

Jr[emoji769]
 
Hamida... Huko uliko unayaona haya?

Jr[emoji769]
 
Watu mnajifarij sana huk ika ukwel uki deep down kutoka n ngumu,mbaya zaid unaweza kuvumilia akaja mwngine ila tatizo likawa kubwa zaid ya yule uliemuacha ukajikuta unarudi tena kwake
 
N༙A༙K༙U༙K༙U༙M༙B༙U༙S༙H༙A༙!!!

H༙A༙K༙I༙K༙I༙S༙H༙A༙ T༙A༙R༙E༙H༙E༙ 28 O༙C༙T༙O༙B༙E༙R༙ U༙N༙A༙M༙P༙I༙G༙I༙A༙ K༙U༙R༙A༙ W༙A༙K༙I༙L༙I༙ M༙S༙O༙M༙I༙ M༙H༙E༙S༙H༙I༙M༙I༙W༙A༙ T༙U༙N༙D༙U༙ L༙I༙S༙S༙U༙.
#NIYEYE
 
Zipumzishe hisia mapenzi yanachosha sana jipe muda wa kutafakari upya ulipokosea ulipopatia, uliposhindwa kutimiza wajibu ulipotenda kwa weledi na chochote utakachoweza kutafakari baada ya kuona umepata nguvu ya kuanza tena fanya hivyo bila papara epuka uzuri wa mkakasi.

Zijapopita siku za furaha usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako..

(Ahsante sana Kaka nitakukumbuka siku zote kwa huu ujumbe,Mungu akubariki.)
 
Watu mnajifarij sana huk ika ukwel uki deep down kutoka n ngumu,mbaya zaid unaweza kuvumilia akaja mwngine ila tatizo likawa kubwa zaid ya yule uliemuacha ukajikuta unarudi tena kwake
Usifanye haraka kuchukua maamuzi ya kutafuta mwingine ndio maana nikasema CHUKUA MUDA KUPUMZISHA HISIA ZAKO
 
Zipumzishe hisia mapenzi yanachosha sana jipe muda wa kutafakari upya ulipokosea ulipopatia, uliposhindwa kutimiza wajibu ulipotenda kwa weledi na chochote utakachoweza kutafakari baada ya kuona umepata nguvu ya kuanza tena fanya hivyo bila papara epuka uzuri wa mkakasi.

Zijapopita siku za furaha usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako..

(Ahsante sana Kaka nitakukumbuka siku zote kwa huu ujumbe,Mungu akubariki.)
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom