Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
This is Africa and its traditions

Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako

1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu

Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio

Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.

Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako

FB_IMG_1740162839550.jpg
 
Ki ufupi watu maskini na watu wenye ujinga ujinga wa kuamini uchawi hawapatani na mazingira( Hawapendi miti).
Nenda uswahili huwezi kukuta hata mti mmoja.. Ukipanda mti ukiwa mkubwa unasakamwa hoo ndo uchawi wake, mara ndo kijiwe cha wachawi .. Watakuja upiga hata misumari ili ufe tuu.

Kwa wenye kujielewa wanajua umuhimu wa miti..

Tunapambana tuongeze Oxygen maana inazidi kupungua we una kuja na mbinu za ajabu eti usipande mitii flani kisa wachawi..
 
View attachment 3245114
Unepost ujinga mkuu
 
Mimi ni mwafrika....

Hiyo ni kweli mkuu wangu....

2.Mbaazi....

Unaweza kuwa nayo ila isiwe mingi....

Mbaazi unatumika vyema "kupiga" na pia ni TIBA mujarabu....hasa masuala ya kichawi na mapepo....muhimu kuzijua tu njia zake.....

Ila "its true" WABOBEVU WA USIKU wanautumia mno....

Shukran mkuu wangu !
 
This is Africa and its traditions

Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako

1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu

Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio

Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.

Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako

View attachment 3245114
3. Muashoki! Huu umetokea mkoa gani Tanzania? Nijuavyo huu ni wakuja tu haumo kwenye mizimu ya makabila yote ya Tanzania.
 
Ki ufupi watu maskini na watu wenye ujinga ujinga wa kuamini uchawi hawapatani na mazingira( Hawapendi miti).
Nenda uswahili huwezi kukuta hata mti mmoja.. Ukipanda mti ukiwa mkubwa unasakamwa hoo ndo uchawi wake, mara ndo kijiwe cha wachawi .. Watakuja upiga hata misumari ili ufe tuu.

Kwa wenye kujielewa wanajua umuhimu wa miti..

Tunapambana tuongeze Oxygen maana inazidi kupungua we una kuja na mbinu za ajabu eti usipande mitii flani kisa wachawi..
Duuh ha ha ha ha
 
Katafute hela wewe hakuna mti mbaya. Ni umasikini tu unakusumbua.
This is Africa and its traditions

Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako

1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu

Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio

Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.

Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako

View attachment 3245114
 
This is Africa and its traditions

Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako

1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu

Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio

Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.

Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako

View attachment 3245114
Ukiwa mtu wa spirituality hao viumbe hawasogei hata kama utaipanda
 
Back
Top Bottom