Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,595
Reaction score
6,264
Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi?

Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16.

Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye ardhi ya Dunia muda wowote katika wiki hii au siku chache zijazo.

Mpaka hivi sasa haijulikani itaangukia wapi kwakuwa haionekani na hamna mawasiliano ya kuiongoza iangukie baharini.

Inakimbia kwa kasi ya kilometer 28000 kwa lisaa na ina uwezo wa kuzunguka dunia yote kila baada ya dakika 90 na kwa mujibu wa ripoti ya Dk Mohammad Said mtaalamu wa maswala ya anga ni:

Kuwa rocket hiyo imefanikiwa kuivuka Misr kwa salama masaa mawili yaliyopita ndani ya dakika 8 na sekunde 40 ikiwa katika urefu wa kilometer 269.

Mwenyezi Mungu atuhifadhi na shari ya waja wake.

Picha hazihusiani na tukio

FB_IMG_1620198907563.jpg
FB_IMG_1620199679801.jpg
 
Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi?!

Mpaka hivi sasa haijulikani itaangukia wapi kwakuwa haionekani na hamna mawasiliano
Hapo juu inadaiwa haijulikani ilipo maana mawasiliano yamematika
na kwa mujibu wa ripoti ya Dk Mohammad Said mtaalamu wa maswala ya anga ni:

kuwa rocket hiyo imefanikiwa kuivuka Misr kwa salama masaa mawili yaliyopita ndani ya dakika 8 na sekunde 40 ikiwa katika urefu wa kilometer 269
Hapa inaonekana imeshapita Misri.

Sasa imepotea baada ya kupita Misri au?

Contradicting.
 
Back
Top Bottom