Chukua tahadhari unapotoa pesa kwenye ATM, na kwa wakala, tapeli akamatwa na kadi 23 za benki

Chukua tahadhari unapotoa pesa kwenye ATM, na kwa wakala, tapeli akamatwa na kadi 23 za benki

Hiyo yako itakua ya nmb...kwasiku tunatoa mpaka 5m kwa wakala
10m zinatokaje kwa wakala ndani ya siku tatu??..au hiyo card ilikuwa Platnum??..maana kadi za kawaida kutoa haizidi 1.2m per day,,
 
Yaani mtu anadiriki kusokomeza kadi yaani kadi yooote ukeni. Kweli wahenga hawakukosea waliposema kuwa uyaone
 
Aisee na amekula makofi ya uhakika maana sio kwa kuvimba huko [emoji23][emoji23]
 
Sipati picha harufu ya hizo kadi kama binti mwenyewe ni wale wenye papuchi zinazotema!!
Hujasoma habari YOTE au kilaza ubongo WAKO mgumu kuelewa hizo kadi ziliwekwa KWENYE pochi then akazificha KWENYE sehemu za siri yaani NDANI ya chupi
 
Hujasoma habari YOTE au kilaza ubongo WAKO mgumu kuelewa hizo kadi ziliwekwa KWENYE pochi then akazificha KWENYE sehemu za siri yaani NDANI ya chupi
Tatizo wajinga mnajiamini kuliko welevu.

Soma paragraph ya 4 ipo clear kabisa hiyo pochi "ilisokomezwa" kwenye uke wake.

Too many fools!!
 
Polisi Kanda Maalum ya DSM, wanamshikilia Halima Juma mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Chalinze, kwa tuhuma za wizi wa fedha kwenye mashine za kutolea fedha (ATM).



Kamanda Mambosasa amesema Askari wanaolinda Benki walimtilia mashaka Binti huyo aliyekuwa kwenye chumba cha ATM ya benki moja Mbagala akijifanya kuwasaidia Wazee na Wastaafu wasiojua kutumia mashine za ATM vizuri, lakini lengo lake ni kuchukua namba za siri za Wastaafu na Wazee hao na kisha kuwabadilishia ATM kadi zao na baadae kuwaibia fedha kwenye akaunti zao kwa kutumia kadi halisi za wahusika baada ya kuwabadilishia kadi na kuchukua namba za siri.


Mtuhumiwa huyo alikamatwa na Askari hao wanaolinda Benki hiyo na alipopekuliwa alikutwa na ATM kadi 23 za watu mbalimbali za Benki tofautitofauti zikiwa katika pochi yake huku akiwa amezificha kwenye sehemu zake za siri (ukeni.
 
Inasikitisha, shetani na tunda lako this is your fault
 
Back
Top Bottom