Chukua tahadhari wapo watu ambao ni wawili,watatu, wanne na zaidi ndani ya mtu mmoja

Chukua tahadhari wapo watu ambao ni wawili,watatu, wanne na zaidi ndani ya mtu mmoja

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello JF,

Unaposhangaa vioja vya jana Kuna watu hushangaa vioja vya Leo na juzi , na wengine hushangaa vyote. Ipo hivi wakati upo na Halima Nyerere square hapa dodoma Kuna Halima mwingine ndani ya Halima katika mwili kabaki ndani amelala, Halima mwingine yupo Chuo Cha mipango yupo discussion na madent wenzie, na Halima mwingine yupo soko la majengo.
Na siku ikifika wote wataongea kwa pamoja wakiwa ndani ya mwili mmoja na watasema wametoka wapi wanaishi ndani ya Halima kwa lengo gani.

Mambo ni mengi siwezi kuongea yote ni mengi mno Ila be careful.

Wenye kuamini na kuyaona mengi itawakumbusha Jambo na wepesi kimaisha hawataamini.

Hakunaga uzushi ukawa ni uzushi bila vigezo.

Wasalaam.

Wadiz a.k.a Baharia
 
Back
Top Bottom