Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

hiyo mission inaweza kukamilika Yes. hiyo siwezi bisha hata kidogo. Nakubali kabisaa.

Lakini inaweza kuchukua zaidi ya miaka kati ya 70 au 120 ijayo mission kutimia kwa namna hali ilivyo....

Mark my words...
Kama ni Kwa hyo miaka hamna mission yyte hapo Ila ni wakat utakuwa umefika tamati tuu Kwa CCM
 
Aliwaambia wasiojulikana "najua mmetumwa mnahangaika nini we dada si uchukue hio silaha yako unishuti tu afurahi"
 
Ahsante sana ndugu yangu. Ndiye huyo. Soon nitawaletea picha zake akiwa Kagame, Rostam Aziz, Membe na Barack Obama. Huyu jamaa ni mzimu anayekiangamiza CCM. Mnakumbuka battle yake na Cyprian Musiba DW? Amekuwa rafiki mkubwa kwa nje kwa Chongolo mwisho SG out. Mkimtafuta Kigogo 2014 msakeni huyu. CCM tusilale.
Kwani CCM ikiondoka kuna tatizo gani??
 
Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.

Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi wajue Membe ni hai, na ni Bollen. Jamaa ni agent wa CIA Ukanda wa Afrika Mashariki akiangalia miradi ya USA katika masuala ya usalama. Ukifika USA embassy utamkuta pembeni benchi kama mwenzio kila siku. Huyu ndiye anajua "aliko" Magufuli.

Wanabodi, nimeamua kufunguka baada ya kujua mengi ya huyu mgeni akijiita kada wa CCM. Huyu jamaa ni maalumu kuvuruga siasa za nchi hii. CCM yumo na upinzani ni damu damu. Ameshiriki sana kumuondoa Chongolo kitini. Naomba msipuuzie maneno haya hususan vyombo vya usalama. Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM. Special Mission kukiua CCM. Niishie hapo kwa Leo.
Bila shaka ni kichaa kimekupanda
 
Back
Top Bottom