Am a girl and proud ππ€
Kwakweli nakubaliana na wewe π€
Njoo pm basi...nimeumia sana unakuwaje jobless na sisi tupo!Am a girl and proud [emoji4][emoji847]
Unifundishe kuwa kama wewe.Pole sana aisee [emoji2][emoji2][emoji2]...upumzike sasa[emoji4][emoji847]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£acha pandandu ndugu yangu
Unataka unipe kazi sioπππ
Yah njoo upewe kazi mrembo!Unataka unipe kazi sio[emoji2][emoji2][emoji2]
Fanya hivi...ingia kwenye all forums kuna option ya kuwatch kila jukwaa.utakua unapata notifications za kila nyuzi mpya mda wote..wewe tu utakua unachagua ipi uchangie ipi uache...very simple ππ€Unifundishe kuwa kama wewe.
Sawasawa...nije na vyeti au hivihivi ππ€
Vyeti baadaye njoo ww kwanzaSawasawa...nije na vyeti au hivihivi [emoji18][emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe ndio umefnya hivyo.Fanya hivi...ingia kwenye all forums kuna option ya kuwatch kila jukwaa.utakua unapata notifications za kila nyuzi mpya mda wote..wewe tu utakua unachagua ipi uchangie ipi uache...very simple [emoji4][emoji847]
Basi sawa,, tangulia nakujaπ€
Yeah nimefanya hivyo...uzi wowote ukipostiwa jukwaa lolote napata notification, that's why nakuwepo kwenye nyuzi nyingi nyingi ππ€[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe ndio umefnya hivyo.
Nitajaribu nione kama nitaweza.
Haiwi usumbufu, maana kuna watu wanapost nyuzi hazina kichwa wala miguu.Yeah nimefanya hivyo...uzi wowote ukipostiwa jukwaa lolote napata notification, that's why nakuwepo kwenye nyuzi nyingi nyingi [emoji4][emoji847]
Mkuu, sema kweli, umevurugwa?Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu.
Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.
niko na browser hakuna usumbufu ππ€ inakuja tu red dot kimyakimya...kama unatumia App ndo ujiandae kusumbuliwaπππHaiwi usumbufu, maana kuna watu wanapost nyuzi hazina kichwa wala miguu.