Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Am a girl and proud 😊🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am a girl and proud 😊🤗
Kwakweli nakubaliana na wewe 🤝
Njoo pm basi...nimeumia sana unakuwaje jobless na sisi tupo!Am a girl and proud [emoji4][emoji847]
Unifundishe kuwa kama wewe.Pole sana aisee [emoji2][emoji2][emoji2]...upumzike sasa[emoji4][emoji847]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha pandandu ndugu yangu
Unataka unipe kazi sio😃😃😃
Yah njoo upewe kazi mrembo!Unataka unipe kazi sio[emoji2][emoji2][emoji2]
Fanya hivi...ingia kwenye all forums kuna option ya kuwatch kila jukwaa.utakua unapata notifications za kila nyuzi mpya mda wote..wewe tu utakua unachagua ipi uchangie ipi uache...very simple 😊🤗Unifundishe kuwa kama wewe.
Sawasawa...nije na vyeti au hivihivi 😌🤔
Vyeti baadaye njoo ww kwanzaSawasawa...nije na vyeti au hivihivi [emoji18][emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe ndio umefnya hivyo.Fanya hivi...ingia kwenye all forums kuna option ya kuwatch kila jukwaa.utakua unapata notifications za kila nyuzi mpya mda wote..wewe tu utakua unachagua ipi uchangie ipi uache...very simple [emoji4][emoji847]
Basi sawa,, tangulia nakuja🤗
Yeah nimefanya hivyo...uzi wowote ukipostiwa jukwaa lolote napata notification, that's why nakuwepo kwenye nyuzi nyingi nyingi 😊🤗[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe ndio umefnya hivyo.
Nitajaribu nione kama nitaweza.
Haiwi usumbufu, maana kuna watu wanapost nyuzi hazina kichwa wala miguu.Yeah nimefanya hivyo...uzi wowote ukipostiwa jukwaa lolote napata notification, that's why nakuwepo kwenye nyuzi nyingi nyingi [emoji4][emoji847]
Mkuu, sema kweli, umevurugwa?Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu.
Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.
niko na browser hakuna usumbufu 😊🤗 inakuja tu red dot kimyakimya...kama unatumia App ndo ujiandae kusumbuliwa😂😂😂Haiwi usumbufu, maana kuna watu wanapost nyuzi hazina kichwa wala miguu.