Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Oi bongo dasalama
Bongo bahati mbaya
😂😂😂 ukute huyo dada mwenye kikoi cha purple wigi lilidondoka, ila hana habari kikubwa afike.
Majanga😂😂😂 ukute huyo dada mwenye kikoi cha purple wigi lilidondoka, ila hana habari kikubwa afike.
Hivi kwa mfano upo na pisi yako, sijui mtafight vipi hapo au ndo kila nafsi itaonja mauti 🙄
Hehe alf katuma usikuPicha zingine hizi mnataka tuchangie yatukute.
Mimi hapo mwenye kofia.