Mkuu, mbona ni jambo la kawaida sana kula mahindi hadharani aisee hata mzee wako labda jioni amekula mahindi pale kijiweni
NB. Mhindi wa kuchoma ukipoa unapungua radha
Chadema wataibeba hii kama sera yao ya uchaguzi ukiachana na ile ya jogoo ambayo tayari mgombea wao kaahidi kumshughulikia yule Jogoo ambaye Magu alipewa kama zawadi.