Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

Kama hutaki lia!! sie tunakula mahindi nyie mnasubiri maelekezo ya kichaa wenu mwende mabarabarani baada ya kushindwa vibaya uchaguzi, badala mchape kazi

Kampeni zimeshaanza, HAPO NDUMILA?
 
Showoff mnatuonyesha kwenye camera wanakula mahindi ya kuchoma. Offcamera wanakula pizza,kuku,biliani, na mazagazaga kibao bila kusahau kila mlo haukosi juice fresh na mboga za majani.
Hindi limetoka Dar hilo wamekuja nalo
Usihadaike Mama
 
Showoff mnatuonyesha kwenye camera wanakula mahindi ya kuchoma. Offcamera wanakula pizza,kuku,biliani, na mazagazaga kibao bila kusahau kila mlo haukosi juice fresh na mboga za majani.
Muda wa kampeni honey. Chezea politicians utalala njaa
 
sema hela bwana,ukiwa na maisha mazuri hata uwe black vipi

lazima umeremete,ngozi inang'aa hata uwe black vipi yani
 
Showoff mnatuonyesha kwenye camera wanakula mahindi ya kuchoma. Offcamera wanakula pizza,kuku,biliani, na mazagazaga kibao bila kusahau kila mlo haukosi juice fresh na mboga za majani.
🤣 🤣
 
Mara anunue johgo kwa jiwe moja, Leo anatafuna mwarabu, mbona mkwere halikua hana hz showoff. ?? Fid q ngosha unakwama wap?
 
Showoff mnatuonyesha kwenye camera wanakula mahindi ya kuchoma. Offcamera wanakula pizza,kuku,biliani, na mazagazaga kibao bila kusahau kila mlo haukosi juice fresh na mboga za majani.
Magu ale pizza na biriani?
 
Chadema wataibeba hii kama sera yao ya uchaguzi ukiachana na ile ya jogoo ambayo tayari mgombea wao kaahidi kumshughulikia yule Jogoo ambaye Magu alipewa kama zawadi.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom