Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

Leo najiuliza" Kwanini tunakula mahindi adharani tukiwa na vyombo vya habari? Je, tunataka kuyapandisha thamani? Tuna njaa? Tunataka kuwaonyesha wananchi tupo nao na sote tunachoma mahindi?

Nakumbuka watawala wamekuwa wakizuia kuvuna mahindi mabichi wakitueleza tusubiri yakauke kuepuka njaa, leo ndo tumejua mahindi ya kuchoma ni matamu kuliko ugali?

Slogan za 2020
1. Ni yeye
2. Ni mahindi
3. Ni bata
 
Ni bora zaidi ya alire mhonga ubunge wa viti maalumu Hawara, ambaye alikwenda kwake na kulewa chakari, akivunjika mguu kwa kupepesuka kwa ulevi na akawabambikiza wasiojulikana.
 
Mwaka huu mtakufa nyie. Yaan mnaongea as if kuchwani mna
 
Mkuu, mbona ni jambo la kawaida sana kula mahindi hadharani aisee hata mzee wako labda jioni amekula mahindi pale kijiweni
NB. Mhindi wa kuchoma ukipoa unapungua radha
 
Ulivyowaza ni sawa...ila naona sio kitu cha kunargue...zuio la kuuza mahindi huwa ni mwezi wa masika..sa hizi tuko kiangazi...automatic mahindi mabichi ni adimu so ni matamu..manake ni ya bustanini..kuna nguvu binasfi ktk kuzalisha hayo mahindi kula hadharani means ume recognise jitihada izo.. Pia awatie mwoyo ktk kupambana na umasikini ktk dhana ya kupiga kazi ...hata kama ni ya kuchoma mahindi...pili,umeona anaulizia chenji...ieleweke Our President ni Mwalimu by professional, amejishusha wamwone wa kawaida kama mwenzao ili apate mengi zaidi kama ..unaona anaomba chenji...ya elfu Kumi..unaweza uka reason President anaomba chenji ya elfu Kumi?..na unaona watu wanafunguka kama mwenzao tuu wa kawaida....na anachomekea maneno kama kupanua kwa yule Mama.. Binafsi sioni kama kuna shida wala sio campaign trick..kwani tumeona akifanya haya hata kabla ya mida kama hii...
Niwaze kwa sauti sio kitu cha Ku argue... Kwani hata huyu ni human being... uanadamu unabaki tu pale..zamani nilkuwa najua wazungu hawanyi kumbe nao ni binadamu kama wengine wanakunya kama kawaida...
 
Showoff mnatuonyesha kwenye camera wanakula mahindi ya kuchoma. Offcamera wanakula pizza,kuku,biliani, na mazagazaga kibao bila kusahau kila mlo haukosi juice fresh na mboga za majani.
Huyu ni ngosha bwana, hali pizza, hayo mapizza tuwaachie wanaopenda junk foods.[emoji39]
 
Back
Top Bottom