Car4Sale Chuma nyingine hii hapa kwa bei ya Kuhamia Burundi. Nissan March kwa 2mil only

Car4Sale Chuma nyingine hii hapa kwa bei ya Kuhamia Burundi. Nissan March kwa 2mil only

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Gari imekaza.

Gari inatembea mwendo mdundo

Haina shida wala kelele

Njoo na Mil 2 nikuachie

sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo.

imebaki hii tu

INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7

IMG-20210928-WA0010.jpg
IMG-20210928-WA0013.jpg
IMG-20210928-WA0014.jpg
IMG-20210928-WA0017.jpg
IMG-20210928-WA0016.jpg
IMG-20210928-WA0015.jpg
 
Na hii ndio tafsiri halisi ya ufukara.
Ukishindwa kununua hata gari hii kwa bei tajwa hapo wewe ni fukara.
Kuna wasiopenda kuinunua kwa sababu zao binafsi na kuna walioshindwa kwakuwa hawana pesa.
Hilo group la pili ndilo nalizungumzia.
Mungu tuokoe Watanzania wenye rasilimali nyingi kushinda hata Denmark na Uswizi
 
Back
Top Bottom