Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Utakuwa unasubiri ya kuokotaYaani mimi sijui nasubiri gari ya sh ngapi? Hata hii inanishinda kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unasubiri ya kuokotaYaani mimi sijui nasubiri gari ya sh ngapi? Hata hii inanishinda kweli?
Kibwengo kumbe ndio wewe mkuu?
Maanayake ntakufa bila gari au nisubiri la kwenye bahati nasibuUtakuwa unasubiri ya kuokota
Teh! Teh! Mkuu umenichekesha sana Sasa ushauri wangu miliki la kuchora tuMaanayake ntakufa bila gari au nisubiri la kwenye bahati nasibu