Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Yawezekana hujaamua kitu sahihi cha kufanyia hio hela mkuu.Yaani mimi sijui nasubiri gari ya sh ngapi? Hata hii inanishinda kweli?
sio wewe tuYaani mimi sijui nasubiri gari ya sh ngapi? Hata hii inanishinda kweli?
Iko Dar es salaam mkuu.Gari inapatikana mkoa gani
Na wewe ni kama mimi mkuu?sio wewe tu
Wakipost ya lak 20 nitag mkuuNa wewe ni kama mimi mkuu?
Mkuu mie Nina laki 5 hapa mfukoni fasta ubakie na kadi afu utanidai laki 2 tumalize baadayeYawezekana hujaamua kitu sahihi cha kufanyia hio hela mkuu.
Hebu agiza mirinda nyeusi hapo shushia na round bread kisha amua!!
Mkuu angalia vizuri hiyo bei uliyowekaWakipost ya lak 20 nitag mkuu
Mura kana kino nke!!Mkuu mie Nina laki 5 hapa mfukoni fasta ubakie na kadi afu utanidai laki 2 tumalize baadaye
Laki 20= 100,0000 × 20 = 2mil.Wakipost ya lak 20 nitag mkuu
Nke nkana ndabhura ne emeremo tukaghamba/toghosomacha ghose enkoro isandagheeMura kana kino nke!!
nemanyele nemelemo.mbane lakini ulatola amakalo. Esenti eyo ninchiya lakini itakubha heNke nkana ndabhura ne emeremo tukaghamba/toghosomacha ghose enkoro isandaghee
Kilichokustua kwenye hio gari ni nini mkuu mpaka ukahisi kuna tatizo?Mkuu sema kwa uwazi hiyo gari inashida gani? Njoo hata inbox