kwani chumaulete imekuwa proved scientifically ?
hizi ni njia ambazo unaweza kuzitumia kuepusha pesa zako zisipotee kimazingara.. Tumia mojawapo pale unapomshitukia/unawasiwasi nae...
1. Pindi unapopewa pesa jitahidi usiichanganye na pesa nyingine, kwa mda fulani.
2. Unapompa change usimpatie mkononi, iweke mezani ajichukulie/aichukue mwenyewe. Hii njia hutumika sana na wafanyabiashara madukani
3. Ile pesa ichane kwenye angle, chana kipande kidogo sana, kama vile unatoa angle, tumia ukucha kuitoa angle ,
Hahaha kuna shosti aliweka mdada kwenye mpesa stall. Da kabwenga mtaji wote wa milioni 3. Anaulizwa anasema ni chuma ulete. Nimecheka tu, manake ningekuwa mie nahisi ningemtia ndani
Oooh kumbe ndo maana ukilipa au kurudishiwa change mtu anatupia juu ya meza? Huwa nakereka sana hii tabia, sikua najua wanamaanisha nini..loh
Dawa ni kuziombea pesa zako na kuzitakasa..Hakuna nguvu iishindayo ile ya Bwana Mungu wetu. Na si kwa hizo peke yake ombea hata pesa uwapazo omba omba mengine ni mapepo tu
Wewe unamtumikia Mungu katika Roho na Kweli?
Au unataka Mungu akubariki tu kwenye biashara yako wakati zaka na sadaka hautoi?
kwani chumaulete imekuwa proved scientifically ?
Nadhari kama hizi ni ngumu sana kuziprove kisayansi
Oooh kumbe ndo maana ukilipa au kurudishiwa change mtu anatupia juu ya meza? Huwa nakereka sana hii tabia, sikua najua wanamaanisha nini..loh
Mambo haya yapo sana mtu hafanyi kazi ila anaishi vizuri akiamka kwenye bao mpaka machweo
Na wewe unayaamini??