Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye Akili Zao Wametutengenezea Pesa Za Noti Sisi Waswahili Kwa Imani Zetu Za Kimasikini Na Kiswahili Eti Tunazikata ktk Kingo! Sasa Tukate Pesa Zote Zilizoko ktk Mzunguko Wake? Binafsi Huwa Nachukia Mtu Anayeendekeza Hizi Imani Na Bahati Mbaya Mno Watanzania Sasa Tumeshaathiriwa Na Ushirikina Na Laiti Kama Mambo Haya Yangekuwa Ya Kweli Basi Kuna Mikoa Hapa Tanzania Ina Hizo Sifa Lakini Cha Kushangaza Ndiyo Mikoa Masikini Na Ina Wakazi Wengi Wasio Na Elimu!

hizi ni njia ambazo unaweza kuzitumia kuepusha pesa zako zisipotee kimazingara.. Tumia mojawapo pale unapomshitukia/unawasiwasi nae...
1. Pindi unapopewa pesa jitahidi usiichanganye na pesa nyingine, kwa mda fulani.
2. Unapompa change usimpatie mkononi, iweke mezani ajichukulie/aichukue mwenyewe. Hii njia hutumika sana na wafanyabiashara madukani
3. Ile pesa ichane kwenye angle, chana kipande kidogo sana, kama vile unatoa angle, tumia ukucha kuitoa angle ,

Hili ndio suluhisho madhubuti majini pamoja na chumaulete hawawezi hata siku moja kugusa assets zozote za biashara inayotolewa Fungu la kumi huwa inakuwa na ulinzi wa kimbingu maargent wenyewe wanakiri huwa wanashindwa kuchukua au kuharibu biashara na hela ya namna hiyo.Wewe unamtumikia Mungu katika Roho na Kweli?
Au unataka Mungu akubariki tu kwenye biashara yako wakati zaka na sadaka hautoi?
Dawa ni kuziombea pesa zako na kuzitakasa..Hakuna nguvu iishindayo ile ya Bwana Mungu wetu. Na si kwa hizo peke yake ombea hata pesa uwapazo omba omba mengine ni mapepo tu
Oooh kumbe ndo maana ukilipa au kurudishiwa change mtu anatupia juu ya meza? Huwa nakereka sana hii tabia, sikua najua wanamaanisha nini..loh
labda unafanana na chumaulete
Wewe unamtumikia Mungu katika Roho na Kweli?
Au unataka Mungu akubariki tu kwenye biashara yako wakati zaka na sadaka hautoi?
Uswahili Mtupu! Watanzania Tuachane Na Hizi Imani Kikubwa Mwombe Tu Mwenyezi Mungu Na Tujifunze Kujiamini.
Hauoni kuchana hela ni uharibifu???