jeremiahj
Senior Member
- Nov 26, 2020
- 165
- 336
pale ni kwao si kwamba alijenga ni sinza Vatican mtaa wa California...Lifestyle wengi walikuwa wanaishi maisha ya kwenye movie na lifestyle sawa na yale wanayoyaona kwenye movie za mbele hasa za black americans.
Wasanii wa zamani si kwamba walikuwa hawapati pesa, ila walikuwa na matumizi na wanaishi bila mipango halafu wakiisha kimuziki wanajawa na stress wengine wanageukia madawa wengine ili kuendelez lifestyle lao wanakuwa punda.
Ni wachache ambao waliwekeza walau hata jmoe alijenga nyumba akawa baba mwenye nyumba wa irene uwoya.
Kupanga ni kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app