Chumba cha Umbea: Wasanii na Mihadarati

Chumba cha Umbea: Wasanii na Mihadarati

Lifestyle wengi walikuwa wanaishi maisha ya kwenye movie na lifestyle sawa na yale wanayoyaona kwenye movie za mbele hasa za black americans.

Wasanii wa zamani si kwamba walikuwa hawapati pesa, ila walikuwa na matumizi na wanaishi bila mipango halafu wakiisha kimuziki wanajawa na stress wengine wanageukia madawa wengine ili kuendelez lifestyle lao wanakuwa punda.

Ni wachache ambao waliwekeza walau hata jmoe alijenga nyumba akawa baba mwenye nyumba wa irene uwoya.

Kupanga ni kuchagua
pale ni kwao si kwamba alijenga ni sinza Vatican mtaa wa California...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lifestyle wengi walikuwa wanaishi maisha ya kwenye movie na lifestyle sawa na yale wanayoyaona kwenye movie za mbele hasa za black americans.

Wasanii wa zamani si kwamba walikuwa hawapati pesa, ila walikuwa na matumizi na wanaishi bila mipango halafu wakiisha kimuziki wanajawa na stress wengine wanageukia madawa wengine ili kuendelez lifestyle lao wanakuwa punda.

Ni wachache ambao waliwekeza walau hata jmoe alijenga nyumba akawa baba mwenye nyumba wa irene uwoya.

Kupanga ni kuchagua
Hata USA wasanii wanaishiwa na wanajiingiza kwenye madawa sababu ya stress. Ndio maisha yalivyo, kuna wengine sio wasanii nao wanashika hela na wanaishiwa, ni maisha tu
 
At this point ndio hua namsifu Diamond Platnumz kwa kuonesha njia ya wasanii kunufaika na vipaji vyao.

Sasa angalau wasanii unaona wananufaika na wao ndio wanakua top kwenye management tofauti na zamani.

I feel so bad for Joslin. Mihadarati ni balaa
 
Nani kasema.

Akumbukwe Ngwear Boy
Kwanini akumbukwe Ngwair peke yake? Tuwakumbuke wote kwa ujumla wao.... Mr Blue, Alikiba, Dully, Jaydee, Fid Q, na wengine wote! Au unataka kusema Ngwair peke yake ndio alikuwa frustrated? Kuilaumu Clouds ni kutaka kuwatafutia wasanii excuse isiyo na mashiko!
 
Yai bovu
Yaai bovu...

Lina nuka
Lina nukaa

Linanukajee
Linanukajeee

....ya kuku
... ya kuku

Nina ndoo yangu eeh
Ya kuchota maji eeh
Maji ya barafu eeh
Ya kukoga baba eee
Ya kukoga mama eee
Na watoto wwke eeh

Watoto msingalie nyumaaa.....

Enewei
Yai bovu linapita
 
Watu wazima na akili zao huwezi kulalamika kwamba kuna watu wanawaharibu. Tusema tu kwamba ni bad decisions ndio zinazotutesa kwenye maisha
Inaumaa sanaaa
 
At this point ndio hua namsifu Diamond Platnumz kwa kuonesha njia ya wasanii kunufaika na vipaji vyao.

Sasa angalau wasanii unaona wananufaika na wao ndio wanakua top kwenye management tofauti na zamani.

I feel so bad for Joslin. Mihadarati ni balaa

Sasa unaambiwa mwenyewe naye ni mdau.

Kumbe sababu ya kubwia hii mitakataka sio stress za kiuchumi,naona ni stress za upweke ndio zinasababisha zaidi.
 
Ongeza nyama kidogo hapaa mkuuu
 
Hiko ki industry ndio kana watu wanamiliki hiyo biashara, hivyo wanajikuta wanakula misembe deile wakidhani wanastarehe.Wakijashtuka wamekuwa pundamilia mwishowe wanakumbwa na ukata kisha tunawaona mazombi hatimaye.
 
Back
Top Bottom