House4Rent Chumba master kinapangishwa Kimara Baruti

House4Rent Chumba master kinapangishwa Kimara Baruti

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
CHUMBA KIMESHALIPIWA,
Asanteni kwa ushirikiano wenu, hata wale ambao hawakua na nia ya kuchukua chumba ila walichangia na kufanya uzi kuendelea kua juu!

Ukiwa na hitaji la nyumba au chumba nochek kwa 0713415537 au 0684448888

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa humo awali alikuwa kada wa Ccm.
54039ae7c3a998ada59af1d31ba3147c.jpg
 
Hahahaaaa hapo huna hata aibu kupost chumba unfinished hvyo, nyumba haina muonekano mzuri kwa nje duh
Aibu ya nini sasa hapo! Mwanaume haoni aibu kutafuta pesa labda kama una haiba za kike, yani kupiga rangi hapo ndio unasema aibu? na rangi yenyewe imeshapigwa

After all nimesema atakae vutiwa anichek, kama hujavutiwa pita kushoto... umbea wa inster huku haupo.. Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom