Mbona umekuwa mkali ghafla mkuu , au ni handaki?Jenga yako mangi
Hao wanatoka kwenye mbege na kitimoto, hapo ni vidole ndo vinaongeaMbona umekuwa mkali ghafla mkuu , au ni handaki?
brain is the beautiful part of the body.
Hao wanatoka kwenye mbege na kitimoto, hapo ni vidole ndo vinaongea
- Mtu kama anahitaji, atanitafuta na kuja kujionea kabla ya makubaliano kama atahamia au la. Sifanyi makubaliano hapa ili mpangaji afungashe virago vyake na kuja hapa kutokana tu na makubaliano ya jukwaa hili
Matusi ya nini, why usipite kimya kimyaAcha upumbavu wewe....
Kwahiyo mtu aache shughuli zake Mwenge afunge safari aje aone nyumba Mombasa
Asiporidhika na quality ya nyumba???
Asipoweza kufika bei???
Kwanini usiweke range ya bei mtu akajua kwa bei hiyo ngoja nimtafute jamaa, ama kwa bei hiyo hata nisipoteze muda siiwezi...
Kubabake Fuga mbwa wanyee humo!!!!
Kwa hio wana jf wote tupite kimya kimya?Matusi ya nini, why usipite kimya kimya
Matusi ya nini, why usipite kimya kimya
Wala sihitaji mpangaji anaeporomosha matusi kama Mange Kimambi mkuu, assume hujauona uzi huuWe si unaleta ufala.
Unaambiwa kistaarabu na wadau weka basi bei na picha ya nyumba mtu afanye makadirio ya mfuko wake.
Wakati mwingine hata kama mtu hakua na mpango wa kukutafuta, akiona picha anaweza kushawishika akaingia line...
Unajifanya Big Bosssee.... Haya endelea na ubossseee
Usisahau Kama uliyeanza matusi ni weweMatusi ya nini, why usipite kimya kimya
Hana nyumba anabanda LA kuku , Wenye nyumba huwa wanapiga picha nyumba zao ndani na nje na kuweka picha hizo hapa pamoja na bei Yake, Huyu anakazi ya kurushiana maneno tu,
Mkuu nadhani kwa wale wanaotaka bei wawekee ili iwashawishi then watakuja kuona na siyo kukataa kila kitu..............unanikumbusha wakati nasafiri na basi kutoka dar to Moro tulipofika mikese gari ilisimama akaja kijana na Sufuria imefunikwa sinia akawa anasema nauza kilichomo ndani....akiambiwa ni nini hicho au unauza Shilingi ngapi? yeye anasema kwanza toa Pesa....Kila Mtu alimuacha.........!!!!!!Ninyi hamna hata mabanda hapa mjini, mmebaki matusi tu mitandaoni
Usimpuuze Jamaa kwenye biashara yako hii picha ni muhimu hilo la bei binafsi naona sio muhimu ila ili uweze shawish watu lazima picha na bei wala kulikuwa hakuna haja ya kupolomosheana mitusiNinyi hamna hata mabanda hapa mjini, mmebaki matusi tu mitandaoni