House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

Ha ha ha nije kuona nyumba ambayo haijulikani bei
 
Habari wadau.

Ninapangisha nyumba yangu chumba kimoja na sebule, kama unahitaji ni PM

- Kuna Umeme, hakuna maji ya DAWASCO ila hakuna shida ya maji na ni KARIBU na BARABARA.

- PM If interested

.......
........
Bado sijapata mtu serious, kama utakuwa serious, nitafute tu PM. Picha sijaweka kulingana na simu ninayotumia kutosupport. Kuna watu wanataka picha na kudai mimi tapeli kwa kuwa sijaweka picha, ningekuwa tapeli ningeweka tu picha yoyote kutoka mitandaoni.

- Wale wenye jazba zisizokuwa na msingi punguzeni au kama ukisoma andiko ukaona linakupa jazba kwanini usiachane nalo tu maana ni tangazo kuliko kubaki unashusha MATUSI kwenye KEYBOARD na JAZBA juu.
kama vipi muwe mnatangaziana huko huko pm[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siweki bei hadharani. Hilo ni sharti dogo. In short nawekaje bei wakati hata chumba hujakiona mkuu.

- Mtu serious atakuja ataiona nyumba, tutakubaliana then poa, asipokubali pia ni haki yake. Ndio biashara

We fala kweli, unatungaziaje kitu ambacho pia hatujakiona? Nakushauri kaa kwenye hilo gofu lako watu wakipita jiran hapo uwaambie unauza, yaani mtu mwenye akili timamu atoke town aje huko gomz kucheki chumba? Muda ni mali asee kuwa serious kidogo
 
Amesema bei ni 350,000 pamoja na mwezi mmoja wa udalali
 
We fala kweli, unatungaziaje kitu ambacho pia hatujakiona? Nakushauri kaa kwenye hilo gofu lako watu wakipita jiran hapo uwaambie unauza, yaani mtu mwenye akili timamu atoke town aje huko gomz kucheki chumba? Muda ni mali asee kuwa serious kidogo
"Mbongo mbongo tu MANENO ya SHOMBO Nje nje" - FID Q

- Si Mwanaume, si Mwanamke, Vichambo kama MANGE KIMAMBI
 
Back
Top Bottom