House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

We si unaleta ufala.
Unaambiwa kistaarabu na wadau weka basi bei na picha ya nyumba mtu afanye makadirio ya mfuko wake.
Wakati mwingine hata kama mtu hakua na mpango wa kukutafuta, akiona picha anaweza kushawishika akaingia line...
Unajifanya Big Bosssee.... Haya endelea na ubossseee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani kwa wale wanaotaka bei wawekee ili iwashawishi then watakuja kuona na siyo kukataa kila kitu..............unanikumbusha wakati nasafiri na basi kutoka dar to Moro tulipofika mikese gari ilisimama akaja kijana na Sufuria imefunikwa sinia akawa anasema nauza kilichomo ndani....akiambiwa ni nini hicho au unauza Shilingi ngapi? yeye anasema kwanza toa Pesa....Kila Mtu alimuacha.........!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha au video kabisa na bei we biashara gani utaiweza au ubishi mbele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Chumba ni kizuri na kiko eneo zuri, in short ni perfect kwa mpangaji "Serious", sihitaji mpangaji so desperately mpaka kufikia stage ya kutafuta kwa udi na uvumba na mapicha juu. Watu wenye shida na nyumba na walio serious wala huwa hawana maneno mengi
 
kama autaki kuweka picha bei kwa nini unatusumbua humu.kwanza nani akae foleni masaa 3 ndio ufike town.ukiwa na safari ya mkoani asubuhi ndio utajua faida ya gongo lamboto.kaka na wale wauza nyama
 
Matusi ya nini, why usipite kimya kimya
Unastahili kutukanwa zaidi ya hapo,wewe una kichwa kibovu ungetupm wooote humu jf bei na picha za nyumba kama bei ni siri.Au dalali weye?
 
Unastahili kutukanwa zaidi ya hapo,wewe una kichwa kibovu ungetupm wooote humu jf bei na picha za nyumba kama bei ni siri.Au dalali weye?
Mimi ndo mwenye nyumba, ndio maana unaona natanga nimeRELAX
 
Mkuu nadhani kwa wale wanaotaka bei wawekee ili iwashawishi then watakuja kuona na siyo kukataa kila kitu..............unanikumbusha wakati nasafiri na basi kutoka dar to Moro tulipofika mikese gari ilisimama akaja kijana na Sufuria imefunikwa sinia akawa anasema nauza kilichomo ndani....akiambiwa ni nini hicho au unauza Shilingi ngapi? yeye anasema kwanza toa Pesa....Kila Mtu alimuacha.........!!!!!!
Hii stori mkuu ya kutunga ili jamaa aweke bei, ila umenifurahisha kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi flani rafiki yangu aliniomba nimtafutie nyumba ya kukaa yeye na familia yake tu. Jamaa mmoja akaniambia ipo bro ni 150,000 kwa mpenzi . Kwenda kucheki ni yaudongo bati mlalo chop cha mabati. Ila mzingira nilipenda sana. Picha na bei mhimu hata watu wa mikoani wanaotarajia kuja huko jijini wanaweza tumia hiyo furusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom