House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

House4Rent Chumba na Sebule vinapangishwa, ni Mombasa kwa Mahita ( Ukonga ).

Chumba ni kizuri na kiko eneo zuri, in short ni perfect kwa mpangaji "Serious", sihitaji mpangaji so desperately mpaka kufikia stage ya kutafuta kwa udi na uvumba na mapicha juu. Watu wenye shida na nyumba na walio serious wala huwa hawana maneno mengi
Fugia kuku au bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba ni kubwa, ila kila chumba na sebule kinajitegemea, na kuna uwanja mkubwa kama ekari nzima na tumezungukwa na majirani tu na fence za majani na miti tu, siyo mageti makubwa ya tofali na umeme
Kama ina sifa hizi,huna nguruwe ambao unaweza kufugia Hilo banda lako?

Au kama vp fugia mafisiemu ya Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hwa ni wale matapeli.
Anakupeleka kwneye nyumba hewa. Unatoa pesa anapotea.
Ameshawahi kumtapeli jamaa yetu mmoja mwaka janaz
Ndio maana mkimtajia hata picha anapiga makelel analia lia
 
Wanaoishi kwenye Nyumba za urithi utawajua tu.

sent from kanyau
 
Wanaoishi kwenye Nyumba za urithi utawajua tu.

sent from kanyau
Vipi wewe baba yako anacho cha kukuachia kama urithi.

- Magu kabana maisha, yawewawia vigumu mpaka MMEJAA JAZBA 24/7 ni KUTUKANA MITANDAONI Mwanzo mwisho,

" Insults as a kind of psychological relief, right ?
 
We

Ndo umebanwa mpaka unatangaza nyumba ya kupanga humu JF,afu huna hata ustaarabu ndo MTU ategemee wewe kua baba mwenye nyumba wake,kazi IPO aiseee,Fanya kilimo cha mbogamboga huko na ufuge hata kuku uuze,otherwise uza hicho kibanda usogeze siku town hapaaa
 
hahahaha uyu atakuwa kafukuza mpangaji na kodi hajapewa c kwa hasira izi alafu ndo anaenda kuwa baba/mama mwenye nyumba uwiii bora ukapange ndani ya gereza la ukonga askari watakulinda kuliko uyu aliyevurugwa ivi yani hapa ndo unatafuta mteja imagine akishampata anakuwaje customer care zeroooo wape wafungwa waishi bure tu
 
Mbona watu mna JAZBA sana, tatizo nini, Nimetukana yoyote humu ?
- Jamani kama maisha magumu sijayaleta mimi, kutukana watu mitandaoni ni UPUNGUFU WA AKILI TU.
 
hahahaha uyu atakuwa kafukuza mpangaji na kodi hajapewa c kwa hasira izi alafu ndo anaenda kuwa baba/mama mwenye nyumba uwiii bora ukapange ndani ya gereza la ukonga askari watakulinda kuliko uyu aliyevurugwa ivi yani hapa ndo unatafuta mteja imagine akishampata anakuwaje customer care zeroooo wape wafungwa waishi bure tu
Jazba ipo wapi kwenye tangazo langu au majibu yangu, au una tatizo la macho ?
 
Weka bei hapa
Siweki bei hadharani. Hilo ni sharti dogo. In short nawekaje bei wakati hata chumba hujakiona mkuu.

- Mtu serious atakuja ataiona nyumba, tutakubaliana then poa, asipokubali pia ni haki yake. Ndio biashara
 
Huyu jamaa ni mtekaji Lengo uende kwenye Hilo banda lake akuteke tu Hana lolote....... Bei hutaki kuweka Kwani unauza bang?? Mkuu nakushauri Punguza stress za kuenguliwa kwenye system ya magufuli kumbuka Kuna maisha mengine Baada ya ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom