PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]We si unaleta ufala.
Unaambiwa kistaarabu na wadau weka basi bei na picha ya nyumba mtu afanye makadirio ya mfuko wake.
Wakati mwingine hata kama mtu hakua na mpango wa kukutafuta, akiona picha anaweza kushawishika akaingia line...
Unajifanya Big Bosssee.... Haya endelea na ubossseee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nadhani kwa wale wanaotaka bei wawekee ili iwashawishi then watakuja kuona na siyo kukataa kila kitu..............unanikumbusha wakati nasafiri na basi kutoka dar to Moro tulipofika mikese gari ilisimama akaja kijana na Sufuria imefunikwa sinia akawa anasema nauza kilichomo ndani....akiambiwa ni nini hicho au unauza Shilingi ngapi? yeye anasema kwanza toa Pesa....Kila Mtu alimuacha.........!!!!!!
Weka picha au video kabisa na bei we biashara gani utaiweza au ubishi mbele tuMatusi ya nini, why usipite kimya kimya
Chumba ni kizuri na kiko eneo zuri, in short ni perfect kwa mpangaji "Serious", sihitaji mpangaji so desperately mpaka kufikia stage ya kutafuta kwa udi na uvumba na mapicha juu. Watu wenye shida na nyumba na walio serious wala huwa hawana maneno mengiWeka picha au video kabisa na bei we biashara gani utaiweza au ubishi mbele tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unastahili kutukanwa zaidi ya hapo,wewe una kichwa kibovu ungetupm wooote humu jf bei na picha za nyumba kama bei ni siri.Au dalali weye?Matusi ya nini, why usipite kimya kimya
kama ndio jeuri yako hiyo basi usitangaze ishi mwenyewe!Ya nini kutangaza?au ujulikane una Chumba na wewe?Mimi ndo mwenye nyumba, ndio maana unaona natanga nimeRELAX
Mimi ndo mwenye nyumba, ndio maana unaona natanga nimeRELAX
Hii stori mkuu ya kutunga ili jamaa aweke bei, ila umenifurahisha kidogo.Mkuu nadhani kwa wale wanaotaka bei wawekee ili iwashawishi then watakuja kuona na siyo kukataa kila kitu..............unanikumbusha wakati nasafiri na basi kutoka dar to Moro tulipofika mikese gari ilisimama akaja kijana na Sufuria imefunikwa sinia akawa anasema nauza kilichomo ndani....akiambiwa ni nini hicho au unauza Shilingi ngapi? yeye anasema kwanza toa Pesa....Kila Mtu alimuacha.........!!!!!!