TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Zoom meetingUlifika kwa ungo nini?
Zoom meetingUlifika kwa ungo nini?
Labda alikuwa mgeni wake kwenye mambo ya kitiba wakasemazana hakuna haja ya kwenda lodge ya kijiji wakati pakulala mganga papo.Jambo la kushangaza sana dah
AmeshajibuAkijibu nishtue
Hahahaha hiki si chumba cha gesti za buku 5 tandale😂😂😂View attachment 3406979
Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
HahahahaULIFUATA NINI CHUMBANI KWA MWANAUME MWENZIO MKUU??
Hahahaha😂Jamaa anaishi maisha ya kifahari ivo
Jamaa kaacha ulozi kwahio ukisema mambo ya kitiba sidhani kama ni sahihiLabda alikuwa mgeni wake kwenye mambo ya kitiba wakasemazana hakuna haja ya kwenda lodge ya kijiji wakati pakulala mganga papo.
Nimewaza tu lakini.
🙏🏿✌🏿📌🔨❗Huna habari kama mshana siku hizi kazaliwa mara ya pili kaachana na mambo hizo za ushirikina
Nimefika aisee
Duuuuu Kiranja Mkuu navyomjua Mshana katika mambo ya nguvu za ajabu lazima atakuwa keshakupiga nao pasipo kujijuaView attachment 3406979
Haa ndipo Mshana anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
Asante mkuu ngoja nitupie geto langu japo sijatandika😀Hapa na mtetea Mshana,kwa muonekano,ni chumba cha chawa mtukuka wa kijani na chini ya kitanda tayari kipo kiroba,kimefungasha nini,ni siri ya chawa mwenyewe na waajiri wake.
Mshana Jr hana tabia ya kuingiza wanaume wenzake chumbani kwake. Wewe umefikaje?View attachment 3406979
Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
Aisee unataka mazoea ya nguvu sana Kijana. Hivi hili ndio wazo ulilo nalo kwenye akili yako?View attachment 3406979
Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga