Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kafika na ungo nn🤔Mshana Jr hana tabia ya kuingiza wanaume wenzake chumbani kwake. Wewe umefikaje?
Kafika na ungo nn🤔Mshana Jr hana tabia ya kuingiza wanaume wenzake chumbani kwake. Wewe umefikaje?
KweliAisee unataka mazoea ya nguvu sana Kijana. Hivi hili ndio wazo ulilo nalo kwenye akili yako?
Replies & Likes za mtandaoni hazina impact yoyote kwenye uhalisia wa maisha yako
Super bedAsante mkuu ngoja nitupie geto langu japo sijatandika😀View attachment 3407029
HahahahaWanaume mnalala kibabe sana.
Muhimu kuna soketi karibuna kitanda basi hakuna tabu
HahahahaHuyo hapo ndo anahamishia mizigo yake
Hamna mambo mengi nyinyi😆Hahahaha
Yeah simple fulani hivi mpaka mtu ajipateHamna mambo mengi nyinyi😆
Na hapo akija demu anaridhika kishenziYeah simple fulani hivi mpaka mtu ajipate
Mchawi kiuno🤣Na hapo akija demu anaridhika kishenzi
Ila sisi sijui nani katuroga.Mchawi kiuno🤣
Swali zuri sanaULIFUATA NINI CHUMBANI KWA MWANAUME MWENZIO MKUU??
Makhaba😍 maji anaweza kuyaona juiceIla sisi sijui nani katuroga.
Hiko chumba na kitanda na shuka lake moja ila demu anaweza kaa wiki nzima humo ndani na akafurahia maisha.
Alifuata ka mchezo ka wapemba, kakuta mshana hapendi kaamua kupiga pichaULIFUATA NINI CHUMBANI KWA MWANAUME MWENZIO MKUU??
Sawa kabisa.Makhaba😍 maji anaweza kuyaona juice
Nimekumbuka mbali Sana kuna siku nitasiimuliaSawa kabisa.
Kikubwa upendo na ile huduma basi!
HahahahaAlifuata ka mchezo ka wapemba, kakuta mshana hapendi kaamua kupiga picha
Jamani si usimulie hapa tu.Nimekumbuka mbali Sana kuna siku nitasiimulia
Sasa hivi sina utulivuJamani si usimulie hapa tu.
Wasikilizaji tupo macho
Sawa, ukisimulia usisite kunitag kiongoziSasa hivi sina utulivu