Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
📌🔨💪🏿Sawa, ukisimulia usisite kunitag kiongozi
📌🔨💪🏿Sawa, ukisimulia usisite kunitag kiongozi
SAWA mkuu ongezamo na ka chai NDO tunapendagaNimekumbuka mbali Sana kuna siku nitasiimulia
naona umejianzishia Uzi na I'd zako nyingine na unajibizana nazo.mshana jinga sana wewe😐😐😐View attachment 3406979
Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
SIO hivo tuu muulize Kuna kikao Dodoma ye kaalikwa au NDO hata Pua haitakiwi kusogea pale ni kupitia WATU kelele TUUzi wako utakuwa umemuhuzunisha sana Lucas Mwashambwa kwa maana ni mwaka wa 7 sasa analala kwenye chaga hamudu kununua godoro ila kwenye kupanda malori na kudemka kwenye mikutano ya ccm ni hodari
Machawa wameambiwa wajitegemee nauli na kama ujuavyo jamaa hawezi kumudu kujilipia nauli ila angeqmbiwa kuna malori ya kubeba watu kuwapeleka huko angedandiaSIO hivo tuu muulize Kuna kikao Dodoma ye kaalikwa au NDO hata Pua haitakiwi kusogea pale ni kupitia WATU kelele TU
Ramli chonganishiUlifikaje humo hadi ukapapiga picha?.
Lucas Mwashambwa ni mfaidika wa matukio ya watu kutekwa, kuuwa, na kupotezwa. Huyu ni Mnyiha wa Mbozi, kabila la Wachuna ngozi, kuua kwao ni show ndogo sana. Achunguzwe kipindi tutakapo PATA serikali inayozingatia utii wa Sheria na utii wa katibaUzi wako utakuwa umemuhuzunisha sana Lucas Mwashambwa kwa maana ni mwaka wa 7 sasa analala kwenye chaga hamudu kununua godoro ila kwenye kupanda malori na kudemka kwenye mikutano ya ccm ni hodari
Mshana ashakudinya dahView attachment 3406979
Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
Acheni hizo bhana. Huu Uzi hauna connection yoyote na Mshana Jr. Hii picha kwa mara ya kwanza ikitumwa na KING MIDAS kwamba ndio chumba alichokaribishwa ukweninaona umejianzishia Uzi na I'd zako nyingine na unajibizana nazo.mshana jinga sana wewe😐😐😐
Hujatandika kitanda mbonaRamli chonganishi
Umejuaje kama mshana bashaKwani Mshana Jr ubasha kaanza lini?
Umenichekesha sana, Dah.... Don't take seriouslyAisee unataka mazoea ya nguvu sana Kijana. Hivi hili ndio wazo ulilo nalo kwenye akili yako?
Replies & Likes za mtandaoni hazina impact yoyote kwenye uhalisia wa maisha yako
James Bond 007Mshana Jr hana tabia ya kuingiza wanaume wenzake chumbani kwake. Wewe umefikaje?
Hah hah haaahDuuuuu Kiranja Mkuu navyomjua Mshana katika mambo ya nguvu za ajabu lazima atakuwa keshakupiga nao pasipo kujijua
Pole sana Kilanja Mkuu, ndio hivyo tena ukome kuingia vyumba vya watu, sio kila chumba ni guest.
Apia!!!!Hahahaha hiki si chumba cha gesti za buku 5 tandale😂😂😂
Umethibitishaje kuwa ni mwanaume mkuu?ULIFUATA NINI CHUMBANI KWA MWANAUME MWENZIO MKUU??
Sawa mkuuItabid nimtafute huko msata anifundishe uganga