Chumbani kwa Mshana Jr, comments ziwe fupifupi tafaadhali.

View attachment 3406979
Haa ndipo Mshana anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
Duuuuu Kiranja Mkuu navyomjua Mshana katika mambo ya nguvu za ajabu lazima atakuwa keshakupiga nao pasipo kujijua

Pole sana Kilanja Mkuu, ndio hivyo tena ukome kuingia vyumba vya watu, sio kila chumba ni guest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…