aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,583
mshana acha kuniona Mimi mjinga aisee😐😐hii ni I'd yako naifahamu kitambo sanaAcheni hizo bhana. Huu Uzi hauna connection yoyote na Mshana Jr. Hii picha kwa mara ya kwanza ikitumwa na KING MIDAS kwamba ndio chumba alichokaribishwa ukweni
Swadaktamshana acha kuniona Mimi mjinga aisee😐😐hii ni I'd yako naifahamu kitambo sana
😕😕😕😕😕😕😕Swadakta
Mchawi?View attachment 3406979
Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
FundiMchawi?
makataperaULIFUATA NINI CHUMBANI KWA MWANAUME MWENZIO MKUU??