Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

ulimwengu una ujinga mwingi sana!

Jamaa anazama chumvini then anaenda kupiga denda na demu wako ulie nae!!wewe nae unapiga mate demu huyo!

Jaribu kuwaza hiyo cycle,utaniambia kansa za Koo plus fungus zisizopona kwenye jamii zitaponaje!!
 
Hiki kitu nimeshindwa kufanya kabisa kwa wanawakee kadhaa zaidi ya mara tano, kwa wanaoweza kwenda huko sijui wanatumia mbinu gani.

Basi bhana wiki iliyopita kwenye pitapita zangu mitaa ya majengo hapa mkoani Arusha nikakutana na kabinti kamoja kazurizuri karefu kembamba , nikamsaundisha nikamuomba namba akanipa.

Baadae kwenye maongezi akasema ye ni college student kwenye chuo fulani anasomea coz ya urembo na ususi, kwenye chombezachombeza za hapa na pale nikaomba tunda akabanabana sana ila baadae akakubali baada ya kuahidi kumpa chochote(wanasema haiuzwi wala haitolewi bure)

Baada ya kufikia mwafaka tukakubaliana kuwa jumapili ambayo ni jana iwe ndo siku ya kufanya tulilokusudia, basi kidume nikapania liwalo na liwe nitajitahidi nami niende chumvini nikasaveyi kuna nini huko maana ni kitu ambacho sijawahi kufanya kulamba k.

Basi bhana bila hiyana mtoto akatia timu kama tulivyokubaliana, sijajua alitumia mbinu gani kuaga alikotoka maana aliniambia huwa anakaa hosteli za chuo. Alipofika hakukuwa na maongezi mengi sana maana tulishaongea sana kwenye simu kazi ilikuwa ni moja kutwanga na kupepeta.

Kwenyemaandalizi mtoto akawa anatoa ushirikiano vizuri ila kila nilipojaribu kwenye kule chini nafsi ikawa inakataa kabisa , kila nikiikaribia nikiangalia ilivyokaa halafu eti ndo niinyonye aisee naishiwa pozi ikabidi suala la chumvini niachane nalo niipige tu kawaida.

Aisee kama jana nilishindwa ndo basi tena kwa sasa acha nifanye mambo ya msingi ya maendeleo huko chumvini nitakuja kwenda baadae sana nikiona nakaribia kufa ili nisijekufa kihoro bila kujua huko kuna ladha gani
Yaani ufe na dhambi ya kuzama chumvini!Acha Hilo ni pepo,Madhara yake ni makubwa sana, Maana ujiandae pia kupitishiwa Bomba uumeni!
 
Wanaume bhana, K ni tamu, K ni nzuri, ila linapofika suala la kuzamia uvinza, utasikia "wee kile kitu kibaya" "kukitazama tu kinaogopesha" na blah blah zingine.

Kwani kukataa tu kusema siwezi kuzama soltini kwa sababu sina interest, ni shida? hadi ukandie maumbile ya mtu?
Na tulivyo Wanaume Wengi kutopaka mafuta,yeye Tako lake mpauko hausemi!
 
Ndio unalamba huko afu unakutana na zile damu damu za period plus uchafu wa fangasi.. dah... Ndio maana wanaume life span yetu inapungua kila uchwao
Sasa Kama mtu anazama chumvini SI Hatari!
 
Kitu kinatoa damu kila mwezi,wewe unapiga deki..dah Mungu aniepushe na huo msala aisee
 
Back
Top Bottom