Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

ulimwengu una ujinga mwingi sana!

Jamaa anazama chumvini then anaenda kupiga denda na demu wako ulie nae!!wewe nae unapiga mate demu huyo!

Jaribu kuwaza hiyo cycle,utaniambia kansa za Koo plus fungus zisizopona kwenye jamii zitaponaje!!
 
Yaani ufe na dhambi ya kuzama chumvini!Acha Hilo ni pepo,Madhara yake ni makubwa sana, Maana ujiandae pia kupitishiwa Bomba uumeni!
 
Na tulivyo Wanaume Wengi kutopaka mafuta,yeye Tako lake mpauko hausemi!
 
Ndio unalamba huko afu unakutana na zile damu damu za period plus uchafu wa fangasi.. dah... Ndio maana wanaume life span yetu inapungua kila uchwao
Sasa Kama mtu anazama chumvini SI Hatari!
 
Kitu kinatoa damu kila mwezi,wewe unapiga deki..dah Mungu aniepushe na huo msala aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…