Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

Kweli mkuu demu analiwa mchana unamnyonya jioni unategemea nini
Umenikumbusha ndugu yangu mmoja, aliyemfungia cctv camera mke wake

Kuanzia chumbani hadi jikoni

Anajiepusha na kulambishwa za wengine 🙌

Usaliti umekuwa Mkubwa sana miaka hii
 
kwamba enzi zenu, Miaka ya 47 watu walikua wanaenda UVINZA?

Mean while hata Denda mostly walikua hawapeani, ni kuiweka tu mwanzo mwisho 🤣
Hiyo Sayansi ya kwenda uvinza ilikwepo lakini sio kwa kiwango cha sasa

Romance pia kwa kiwango kidogo, wale waliobahatika kwenda Ulaya Kusoma miaka ya 63 hadi 75 hapo walirudi na hayo maarifa

Kwahiyo kidogo ubunifu ukaongezeka

Kwasasa teknolojia imechangia vijana kuzidi kuwa wabunifu

Japo wanakosa Ile pumzi tuliyokuwa nayo wenzenu mwaka 47 bila kutumia Viagra lakini bibi 3 unawashughulikia vizuri na Kila mmoja anafika kibo 😎
 
Ila siyo kwa siku moja wote
 
Ukimuhudumia vizuri mkeo/mpenzi wako sio rahisi yeye kuliwa

Iwapo akifanya hayo, itakuwa amezidiwa na nyege tu ama alikuwaga paka la baa kabla hujamuoa
Mwanamke hariziki mkuu
 
Uchafu sana.
 
Chumvini ni wapi kwa hapa Kigoma?
 
Tundu Lisu angejua mada mnazojadili mitandaoni asingepoteza muda wake kugombana na maccm kila siku.
Kutupambania hakuumaanishi tusijadili vitu vingine mkuu. Maisha lazima yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…