geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
mkuu unajua kusimulia sana....tupe muendelezo ilikuaje jamaaa akaanza mavurugu mpaka kupasua gariTulivyowa chuo kuna mkaka nilikuwa namzimikia, nikawa namwambia rafiki yangu nampenda yule Kaka so akawa anafahamu Hilo.
Na huyo mkaka alikuwa ananipenda sema hakuwahi nitamkia kwasababu tayari nilikuwa na mtu wangu. Ila tukienda club lazima anifate tucheze wote,dalili nyingi zilionyesha ananizimikia kiaina.
Basi baada ya muda nikaskia anatoka na rafiki yangu dah iliniuma lkn sikuwa na jinsi maana tayari nina mtu wangu anaye tambulika. Maisha yakaendelea.
Tulivyoenda likizo nikawa nachat na huyo mkaka shemeji yangu kipindi hiko Simu za mkonini ndo zimeingia, nilikuwa na simu yangu Siemens C25 (wahenga wenzangu watanielewa).
Halafu kutuma msg ilikuwa free huitaji salio Wala bando so kuchat 24/7.
Tumechat weee tukaanza kuflirt kiaina nikamwambia hapa home Kuna mizinga ya konyagi mingi na hakuna wanywaji so nitakuletea zawadi.
Tulivyo fungua chuo nikabeba zawadi. Bahati nzuri sie third year tuliwahi kufungua chuo sikumbuki sababu ni nini, rafiki yangu alirudia mwaka so alikuwa mwaka wa pili.
Nikampelekea shemeji zawadi room kwake...my friend kilichotokea sisemi sana ila tulikulana balaa na tukaendelea miaka na miaka.
Rafiki yangu alikuja kusikia baadae sana nimeshamaliza chuo akaniuliza nikaruka mita 200 akaniamini.
Huyo rafiki yangu ni best yangu hadi Leo tumekuwa watu wazima na huyo mkaka hata nikimtafuta leo tutakulana tu ni vile sina tena mzuka wa hayo mambo.
Siku nyingine nitakusimulia jinsi alivyoendelea kuwa mchepuko wangu hata baada ya kuolewa..akaonekana na Mr (ambae ndo yule wa chuo aliyekuwa anatambulika) ananishusha kwenye gari yake. Gari ikabondwabondwa na yeye kutolewa mangeu na kufikia kufikishana polisi. Na pesa ya hospitali nikatoa na bado tuliendelea hatukuachana [emoji3][emoji3]. Kiufupi ni bonge ya mshkaji .
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app