Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

kusema kweli wewe Maggie ulinibaka siku ileee rafiki yako kaenda Msibani!.......! unabisha mpaka fatuma akatukuta. na yeye kataka pale pale vinginevyo anakwenda kusema ....basi nkawa najilia tuuuuu!!! kataa sasa hapa hapa!!
 
Faza hausi alinimaindi sababu nlimfukuzia wapangaji wake kisa nliwachanganya wote walikua ni marafiki sana lakini baada ya kuhama kila mtu kaenda kukaa kivyake na nmewaacha wote nasubiri wapangaji wapya

Mrejesho tafadhali.
 
mshkaji wangu wa kazini-dereva wetu yani natype yuko pembeni hapa busy na simu hanaga mpango na jamiiforum😜.....alikuwa na demu mmoja ivi ana bonge la trako, uyo demu ni polisi mkoa wetu hapa ndoa yake imevunjika juz tuu hapa ,akaja kunitambia weeeeee afu eti anajisifu kuwa hana mpango nae kisa dem mkubwa kiumri kampita( anaogopaga waliompita umri). Me nkadaka namba yake uyo demu alinipa mwenyewe hajachukua raundi, siku mbili tuu alivyofika tuu om nkafumua 😅😅😅 , raund nne dah bila zana wala kinga hatari sana mwanangu!!!.......................Mwana alimpima , me na mwana tuna vile vipimo vingi self test kama mahabara vile, tukazuga baada ya show kwenda kupiga self test ili aniamini afu ndo nkamrudisha kwake mpaka leo ni mabest ila ametuacha wote kaona wachezeaji. Tunapiga tu story na kusaidiana tuu

Mwamba hajui mpaka leo , Shida ya mwamba anapendaga kupewa tuu madem yeye hapendi kutoa connection nshamuweka kwa watoto wakali sana nliowashindwa ila hanaga shukrani....SEMA NA ME SNITCH KWELI😁😁
 
Mumeo amepata hasara namsikitikia sana
 
Sasa utazuia mpenzi wako kugongwa? Au yeye ndio anatakiwa ajizuie?
 
Umenena vyem kabisa....tutachunga mbuzi tu kwa kweli
hata mkeo unamchunga tu km mbuzi bana kwani nini?? wee hujawahi kusikia watu wamenatana kwani??.... hiyo tisa kuna ilee anakufa mmoja wao hapo hapo? kabla ya kufanyana sasa hujawa na Mada kesi?
 
hata mkeo unamchunga tu km mbuzi bana kwani nini?? wee hujawahi kusikia watu wamenatana kwani??.... hiyo tisa kuna ilee anakufa mmoja wao hapo hapo? kabla ya kufanyana sasa hujawa na Mada kesi?
Hapa nilikuwa namaanisha hivi,Mimi sichungi binaadamu mwenzangu,Bali nitachunga mbuzi..
Mwili wake kaamua mwenyewe kuutumia wacha tu aendelee kuupiga mwingi
 
Huu uzi ni remix ya ule wa kula tunda kimasihara
 
Hapa nilikuwa namaanisha hivi,Mimi sichungi binaadamu mwenzangu,Bali nitachunga mbuzi..
Mwili wake kaamua mwenyewe kuutumia wacha tu aendelee kuupiga mwingi
Aliposema ''nanyi mtakuwa Mwili mmoja'' huyo hakukosea!! alikuwa anamaanisha best!! sasa km hauwezi kuuchunga Mwili wako, tukuiteje??....au labda huo si mwili wako huo, manake hamjawa mwili mmoja huyo!! sasa km ni ivo cha kufanya tafuta mwili wako ulipo! utaupata tu!!

Huo utaulinda lazima!! siyo maagizo yangu..... Tena sometimes bila kujua kuwa unalinda Jumba la Mwili, utastukia tu heee!! wewe ni Mlinzi wa hiari unaelipwa naniliu tu..., hkn mtu Duniani asiyekuwa na kazi ya Ulinzi! ila tunajifanyaga tu.....

Ukiona umeacha kazi hii ya ulinzi sehemu moja!! basi jua kabisa kuna Boss! wako halisi yuko mahala flani anakusubiria nenda....ukapate kazi yako huko!!..usitegee..... na siku ukikamatika dada hee! nakwambia kazi huachi ng'oo!!

utalala jicho kodooo!! ukiulizwa ''Joannah vepe??? ........Ata nilikuwa napita tu.....''eee!...... ''nilikuwa napita bhana!!!.........sasando hapo jiulize mtu atapitaje kwenye godoro la futi 2?? mchungaji anachunga kondoo watu wazima sembuse weye!!

Kuchungwa raha kwanza hupotei!!....jaribu uone!
 

Hivi Nyaru,haya unayoyesema uko serious?maana unanivuruga kichwa changu
 
Hivi Nyaru,haya unayoyesema uko serious?maana unanivuruga kichwa changu
Kweli Baby sita nii!! yaani wewe jitahidi tu!...ako mutu mahali flani kwa kadri unavo taka, tena rahisi sana cha kufanya omba Mungu akuonyeshe! atakuja!! na roho yako hapohapo itasema nae! na ukiingia anga hizo kiroho kwatuuu!! ...

nasema Omba Mungu ikibidi funga kwa maombi! utashangaa!...
 
Tongoza woteeee ila kutongoza marafiki wa mwenzi ni udhalilishaji sana......kuna mtu atapigwa la hiroshima!!!!
Unajua Mapenzi bana hayana ujanja unaweza nasa popote hata kwa dada yako kabisaaa!! na mkaendelea km kawa mpaka hukoooo! sema tu watu hawasemagi tu!...kwani unajua mtafanyaje utasikia ''leo tu ka hamu haka nikimaliza hapa leo baaasi sifanyi tena!!

Basi itakuwa leo mara kesho mara mwakani basi ndo ivoooivooo!! mara mtoto huyoo, ....mara mkeo kakukimbia ndo kabisaaa dada anakuja kukusaidia kuosha vyombo na mumewe anatelekezwa huko!! kaka weee!!
kaka!!

Mkuu hayanaga ufundi haya ukinasa kujinasua ni kazi sana!! labda useme....utamke! utoe hiyo siri, halafu urogwe upya na mganga!.... cha msingi km unataka usichekecheke na dada utanasa buree!! kuwa kauzu flani hivi! kamwe usishinde home na dada zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…