Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

Faza hausi alinimaindi sababu nlimfukuzia wapangaji wake kisa nliwachanganya wote walikua ni marafiki sana lakini baada ya kuhama kila mtu kaenda kukaa kivyake na nmewaacha wote nasubiri wapangaji wapya

Mrejesho tafadhali.
 
mshkaji wangu wa kazini-dereva wetu yani natype yuko pembeni hapa busy na simu hanaga mpango na jamiiforum😜.....alikuwa na demu mmoja ivi ana bonge la trako, uyo demu ni polisi mkoa wetu hapa ndoa yake imevunjika juz tuu hapa ,akaja kunitambia weeeeee afu eti anajisifu kuwa hana mpango nae kisa dem mkubwa kiumri kampita( anaogopaga waliompita umri). Me nkadaka namba yake uyo demu alinipa mwenyewe hajachukua raundi, siku mbili tuu alivyofika tuu om nkafumua 😅😅😅 , raund nne dah bila zana wala kinga hatari sana mwanangu!!!.......................Mwana alimpima , me na mwana tuna vile vipimo vingi self test kama mahabara vile, tukazuga baada ya show kwenda kupiga self test ili aniamini afu ndo nkamrudisha kwake mpaka leo ni mabest ila ametuacha wote kaona wachezeaji. Tunapiga tu story na kusaidiana tuu

Mwamba hajui mpaka leo , Shida ya mwamba anapendaga kupewa tuu madem yeye hapendi kutoa connection nshamuweka kwa watoto wakali sana nliowashindwa ila hanaga shukrani....SEMA NA ME SNITCH KWELI😁😁
 
Tulivyowa chuo kuna mkaka nilikuwa namzimikia, nikawa namwambia rafiki yangu nampenda yule Kaka so akawa anafahamu Hilo.

Na huyo mkaka alikuwa ananipenda sema hakuwahi nitamkia kwasababu tayari nilikuwa na mtu wangu. Ila tukienda club lazima anifate tucheze wote,dalili nyingi zilionyesha ananizimikia kiaina.

Basi baada ya muda nikaskia anatoka na rafiki yangu dah iliniuma lkn sikuwa na jinsi maana tayari nina mtu wangu anaye tambulika. Maisha yakaendelea.

Tulivyoenda likizo nikawa nachat na huyo mkaka shemeji yangu kipindi hiko Simu za mkonini ndo zimeingia, nilikuwa na simu yangu Siemens C25 (wahenga wenzangu watanielewa).

Halafu kutuma msg ilikuwa free huitaji salio Wala bando so kuchat 24/7.

Tumechat weee tukaanza kuflirt kiaina nikamwambia hapa home Kuna mizinga ya konyagi mingi na hakuna wanywaji so nitakuletea zawadi.

Tulivyo fungua chuo nikabeba zawadi. Bahati nzuri sie third year tuliwahi kufungua chuo sikumbuki sababu ni nini, rafiki yangu alirudia mwaka so alikuwa mwaka wa pili.

Nikampelekea shemeji zawadi room kwake...my friend kilichotokea sisemi sana ila tulikulana balaa na tukaendelea miaka na miaka.
Rafiki yangu alikuja kusikia baadae sana nimeshamaliza chuo akaniuliza nikaruka mita 200 akaniamini.

Huyo rafiki yangu ni best yangu hadi Leo tumekuwa watu wazima na huyo mkaka hata nikimtafuta leo tutakulana tu ni vile sina tena mzuka wa hayo mambo.

Siku nyingine nitakusimulia jinsi alivyoendelea kuwa mchepuko wangu hata baada ya kuolewa..akaonekana na Mr (ambae ndo yule wa chuo aliyekuwa anatambulika) ananishusha kwenye gari yake. Gari ikabondwabondwa na yeye kutolewa mangeu na kufikia kufikishana polisi. Na pesa ya hospitali nikatoa na bado tuliendelea hatukuachana [emoji3][emoji3]. Kiufupi ni bonge ya mshkaji .
Mumeo amepata hasara namsikitikia sana
 
Usishangae sana sii kwa ubaya huyo huyo best friend wako wa damu damu, ambae muda mwingi unapoteza nae, huyo huyo ambae shida zako nyingi anakusaidia kutatua kwa moyo wake wote.

Huyo huyo ambae ukibahatika kupata pisi kali au danga unakuwa wa kwanza kumpelekea umbea .Huyo huyo ambae ambae mkienda kula bata mnakaa meza moja unaondoka unaenda toilet unamuacha akulindie mzigo.

Moyo wa mtu unasiri asee hivi ulishawahi fikiria ile moment umeenda kumtambulisha mpenzi wako kwa rafiki yako that time wanasalimiana kwa kushikana mikono kwa mara ya kwanza huwa unahisi nini kinatokea kichwani mwao.??

Ebu tuwe wakweli hujawahi kwenda tambulishwa kwa mpenzi wa rafiki yako, ukajikuta umekufa umeoza kwa huyo shemeji yako...?? Ukiona rafiki yako kipenzi anakuuliza uliza hivi unampango gani na huyo jamaa/demu wako shituka mapema pengine anataka kupima kina cha maji.

Na kama ikitokea wamependana asee hakuna mchezo unaochezwa kwa siri kubwa kama huo ili kulinda urafikina fedhea ,yaani hata FBI na interpol wakija kupeleleza hawawezi pata ushahidi ,zaidi hata ya kuiba mkee wa mtu ,yaani error kutokea ni 0.0001perc

Ukiona wa dada ni marafiki saana wa muda mrefu ujue kunapossibility kubwa wameshagongwa na jamaa mmoja kwa nyakati tofauti na mmoja wao alimuiba kwa siri mpenzi wa rafiki yake. Hivyo hivyo kwa boys marafiki wawili kuchezea tundu moja sio jambo la kushangaza na hapo mmoja wao ni anamuibia mwezie.

Ushauri kama una mpenzi wako una ndoto za kufika nae mbali ukiwa unapiga story zake kwa marafiki zako usimu underrate ukasemaa aah yule napiga tu siku ziendee, au yule namchuna zikiisha nasepa aloo itakuja kula kwako utapigwa tukio huto amini.

Najua kuna wengi hawato amini sababu ya usiri mkubwa wa hilo jambo ila amini kwamba ndugu.
Sasa utazuia mpenzi wako kugongwa? Au yeye ndio anatakiwa ajizuie?
 
Umenena vyem kabisa....tutachunga mbuzi tu kwa kweli
hata mkeo unamchunga tu km mbuzi bana kwani nini?? wee hujawahi kusikia watu wamenatana kwani??.... hiyo tisa kuna ilee anakufa mmoja wao hapo hapo? kabla ya kufanyana sasa hujawa na Mada kesi?
 
hata mkeo unamchunga tu km mbuzi bana kwani nini?? wee hujawahi kusikia watu wamenatana kwani??.... hiyo tisa kuna ilee anakufa mmoja wao hapo hapo? kabla ya kufanyana sasa hujawa na Mada kesi?
Hapa nilikuwa namaanisha hivi,Mimi sichungi binaadamu mwenzangu,Bali nitachunga mbuzi..
Mwili wake kaamua mwenyewe kuutumia wacha tu aendelee kuupiga mwingi
 
Hapa nilikuwa namaanisha hivi,Mimi sichungi binaadamu mwenzangu,Bali nitachunga mbuzi..
Mwili wake kaamua mwenyewe kuutumia wacha tu aendelee kuupiga mwingi
Aliposema ''nanyi mtakuwa Mwili mmoja'' huyo hakukosea!! alikuwa anamaanisha best!! sasa km hauwezi kuuchunga Mwili wako, tukuiteje??....au labda huo si mwili wako huo, manake hamjawa mwili mmoja huyo!! sasa km ni ivo cha kufanya tafuta mwili wako ulipo! utaupata tu!!

Huo utaulinda lazima!! siyo maagizo yangu..... Tena sometimes bila kujua kuwa unalinda Jumba la Mwili, utastukia tu heee!! wewe ni Mlinzi wa hiari unaelipwa naniliu tu..., hkn mtu Duniani asiyekuwa na kazi ya Ulinzi! ila tunajifanyaga tu.....

Ukiona umeacha kazi hii ya ulinzi sehemu moja!! basi jua kabisa kuna Boss! wako halisi yuko mahala flani anakusubiria nenda....ukapate kazi yako huko!!..usitegee..... na siku ukikamatika dada hee! nakwambia kazi huachi ng'oo!!

utalala jicho kodooo!! ukiulizwa ''Joannah vepe??? ........Ata nilikuwa napita tu.....''eee!...... ''nilikuwa napita bhana!!!.........sasando hapo jiulize mtu atapitaje kwenye godoro la futi 2?? mchungaji anachunga kondoo watu wazima sembuse weye!!

Kuchungwa raha kwanza hupotei!!....jaribu uone!
 
Kuchungwa raha kwanza hupotei!!....jarjari

Hivi Nyaru,haya unayoyesema uko serious?maana unanivuruga kichwa changu
 
Hivi Nyaru,haya unayoyesema uko serious?maana unanivuruga kichwa changu
Kweli Baby sita nii!! yaani wewe jitahidi tu!...ako mutu mahali flani kwa kadri unavo taka, tena rahisi sana cha kufanya omba Mungu akuonyeshe! atakuja!! na roho yako hapohapo itasema nae! na ukiingia anga hizo kiroho kwatuuu!! ...

nasema Omba Mungu ikibidi funga kwa maombi! utashangaa!...
 
Tongoza woteeee ila kutongoza marafiki wa mwenzi ni udhalilishaji sana......kuna mtu atapigwa la hiroshima!!!!
Unajua Mapenzi bana hayana ujanja unaweza nasa popote hata kwa dada yako kabisaaa!! na mkaendelea km kawa mpaka hukoooo! sema tu watu hawasemagi tu!...kwani unajua mtafanyaje utasikia ''leo tu ka hamu haka nikimaliza hapa leo baaasi sifanyi tena!!

Basi itakuwa leo mara kesho mara mwakani basi ndo ivoooivooo!! mara mtoto huyoo, ....mara mkeo kakukimbia ndo kabisaaa dada anakuja kukusaidia kuosha vyombo na mumewe anatelekezwa huko!! kaka weee!!
kaka!!

Mkuu hayanaga ufundi haya ukinasa kujinasua ni kazi sana!! labda useme....utamke! utoe hiyo siri, halafu urogwe upya na mganga!.... cha msingi km unataka usichekecheke na dada utanasa buree!! kuwa kauzu flani hivi! kamwe usishinde home na dada zako!
 
Back
Top Bottom