Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni kwenye nyuzi za wengine jinsi matokea yatavyokuwa.
Nikaamua kuchukua idadi ya magoli yote ya Yanga nikagawa kwa hizo 12 na kuchukua ya Al Hilal nikagawa kwa 12. Matokeo ya utabiri wenu humu ndani ni kuwa Yanga kwa Mkapa atashinda goli 3-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, na watu nane tu wamejaribu kutabiri matokeo ya Sudan yatakavyokuwa.
Nikachukua idadi ya magoli ya Al Hilal nikagawa kwa 8, nikachukua na ya Yanga nikagawa kwa nane, matokeo yakawa Al Hilal 2-0 Yanga. Jumla ya matokeo ikawa ni Yanga 3-3 Al Hilal, Wasudan watasonga mbele kwa agrigate.
Mmetabiri wenyewe humu!