Chungu na tamu za watabiri mchezo wa Yanga na Al Hilal (first leg & second leg)

Tupo kwenye mfungo wa kuiombea Yang'a ifuzu
Yaani uache kuiombea timu yako ambayo ni tia maji tia maji! Eti ufunge kuiombea Yanga iliyokamilika kila idara!!

Mashabiki wa simba kuweni serious hata kidogo basi. Kwa taarifa yako, Yanga itafuzu keshokutwa Jumamosi. Mechi ya marudio, inaenda tu kukamilisha ratiba.
 
Unapenda kupanick oooh tate nanee
 
Unapenda kupanick oooh tate nanee
Mimi najaribu tu kukuonea huruma mapema! Nafahamu fika hali unayopitia pale timu yako inapofungwa.

Hivyo huu ndiyo wakati wako sahihi wa kufunga ili iweze kupata ushindi kwenye mechi zake zijazo. Kuhusu Yanga, wewe tuachie tu sisi wataalam wa kamati ya ufundi.
 
Sasa kwahyo unadhani mm naweza funga kwa ajili ya timu yoyote? Its just a joke nothing more... shida ww unachukulia serious kila kitu.
 
Hilo halitakua Iwe mvua iwe jua..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Jumapili baada ya game kumalizika mashabiki ya mbumbumbu fc akili zitakorogeka pamoja na mavi..Mo,barba,mgunda na matola watatukanwa mpaka watawakumbuka marehemu wazazi wao
 
Hiyo nayo ndoto ya chuki,lala zote tena🥱
 
Hii mechi ya Yanga bora ipite, maneno yamekuwa mengi sana.
 
msipate tabu mbona matokeo yanajulikan cha msingi kuendelea kuombea timu zituwakilishe vyema kama walivyoanza
 
Nahitimisha kwa kusema kuwa kwa mkapa matokeo yatakua ni kwa Yanga kushinda goli 2-1 dhidi ya al hilal...nimetumia hesabu zile zile ila natabiri yanga kutangulia kipindi cha kwanza goli moja na mwanzoni mwa kipindi cha pili goli moja..na al hilal watafuta machozi dakika za jioni.ni utabiri tuu..japo siku hizi naoteaga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…